Maji ndani ya jicho yanakauka na nguvu ya kuona inapungua

Mkuu pole sana. Kama unaweza, safiri hadi Dar es Salaam uende hospitali ya CCBRT wakupime. Ugonjwa huo hauna tiba ila unaweza kuu control tu kwa operation na dawa. Inasikitisha kwamba wewe umeupata ukiwa mdogo sana, ila usipozingatia tiba hupelekea kwenye upofu kabisa.
 
Ahsante
 
Back
Top Bottom