Kwa wananchi wanaotumia maji kutoka mamlaka hii (SOUWASA)tumekuwa tukisumbuliwaa sana kutokana na maji machafu mekundu ambayo siyo salama kwa matumizi ya nyumbani.
Hii ni changamoto ya miaka na miaka, ukiwapa taarifa wanakwambia yafungulie mpaka yatakapoanza kutoka masafi na ilhali maji hayo yote yanaingia katika mita na inabid uyalipie.
Unaweza ukakuta unamwaga takriban ndoo za lita 10 kumi au zaid za maji machafu, mwsho wa siku unakuta bili kubwa.
Your browser is not able to display this video.
Pia huwa wanasingizia kiwa wamesafisha matenki yao ndo maana maji yanatoka machafu.