Maji ya kilimanjaro na sequa

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Wakuu mimi bado sielewi haya maji kwa jinsi yanavyofanana kiasi kwamba yanatuchanganya wateja.Chupa zao zinafanana hadi nembo zao. kwenye maji ya kilimanjaro wameandika a product from land of kilimanjaro wakati sequa wameandika a quality product frm mountain kilimanjaro. Au labda ni kampuni moja tu na sequa water ni tawi
 
Wat for? why do you need to know?

 
Kwanza ungeshangaa magari ya Toyota na aina zake ndipo utapata jibu la Maji
 
Lakini hujui tofauti ya mount Kilimanjaro na land of Kilimanjaro. Lakini pia umeshindwa kuangalia anuani ya mtengenezaji?
 
Reactions: GKM
Sioni sababu ya wewe kuchanganyikiwa! hata kwa majina yaani brand utaona hii ni kilimanjaro and nyingine ni sequa pia hata kampuni ni tofauti: Kilimanjaro Bonite wakati sequa ni Bela view! kilimanjaro kiwanda kipo shirimatunda Moshi na seque kiwanda kiko Mkuu Rombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…