ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
Wakuu mimi bado sielewi haya maji kwa jinsi yanavyofanana kiasi kwamba yanatuchanganya wateja.Chupa zao zinafanana hadi nembo zao. kwenye maji ya kilimanjaro wameandika a product from land of kilimanjaro wakati sequa wameandika a quality product frm mountain kilimanjaro. Au labda ni kampuni moja tu na sequa water ni tawi