Mkuu jaribu hiyo maji kutoka mmereseni hapo marangu kitu Tanza... Mbeya tumeenda sawa hapo Dew drop yapo na ubora wa kutosha.Moshi ni Kilimanjaro pure drinking water, Dar napiga Hill au Canadian Pure kwa sasa, mwanzo ilikuwa uhai na masafi. Mbeya natumiaga Dew drop...bonge la kiburudisho!
Kunywa maji Rungwe uone yalivyo matamuNikiwa Mbeya,kigoma,katavi maji bora kabisa ni Dew drop moro town udzungwa ametisha sana nikiwa moshi maji bora ni Tanza au sequa #Ova
uhai haina ubora wowoteKila zama na nabii wake.
Sasa ni mwendo wa
Afya
Uhai
Masafi
Dasani
Kunywa Sequa yako poaBaada ya Kilimanjaro kufa sasa hivi najaribujaribu kila brand nitakayokuta iko powa naipa kandarasi.
mkuu nahisi Kilimanjaro iko under license sababu hata package yake sio nzuri, chupa za siku hizi laini mno kiasi kwamba ukishika inabonyea, japo bado mazuri yapo pia.
Hahaha masafi.Kila zama na nabii wake.
Sasa ni mwendo wa
Afya
Uhai
Masafi
Dasani
Masafi na Uhai ?Kila zama na nabii wake.
Sasa ni mwendo wa
Afya
Uhai
Masafi
Dasani
Kama yana ladha basi hayafai. Nadhani unajua sifa ya maji.Chombo Kutoka Mapinga Bagamoyo
Hill Water, Kifungashio Safi, Maji Yenye Ladha
Achilia kote huko, yananyweka mpaka ikuluHakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,
Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Achilia kote huko, yananyweka mpaka ikulu
Sasa hivi uhai kaja na chupa ya lita 1.6 kwa 500 tu,Afya lita 1 kwa jelo tu....maisha yanazidi kua rahisi siku hizi heko serikali ya JPM😎😎
Naona mawakala wa hill water mpo kazini
Bravo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hill water ni habari ya mjini kwa sasa.9
Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Hill water nayo inakuja juu sana, karibu kila duka wanauzaKila zama na nabii wake.
Sasa ni mwendo wa
Afya
Uhai
Masafi
Dasani