Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
Hahaha. Naskia mmesusa kulima msimu ujaobado hatujalipwa,ila wamakonde tuna jambo letu zito sana,hawataamini machoni mwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha. Naskia mmesusa kulima msimu ujaobado hatujalipwa,ila wamakonde tuna jambo letu zito sana,hawataamini machoni mwao
Nadhani yanaungwa kwa chumvi!! Ladha yake imekuwa ya hovyo kabisaMaji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Kabisa...maji yanaaminika kwa watu serious...ukileta brands nyingine kwenye Executive meetings hawanywi...watu wa catering wanaelewa hiliAchunguze huenda watu wa maabara wana malalamiko Yao ya msingi.
Tatizo ubora umepungua na si vngnevyo so wawe makini nakufatilia wachakachuajiHakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,
Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app