Maji ya Kilimanjaro yamekata pumzi

Maji ya Kilimanjaro yamekata pumzi

Naona humu mnashindanisha Coca-cola na Azam Cola!.
 
Achunguze huenda watu wa maabara wana malalamiko Yao ya msingi.
Kabisa...maji yanaaminika kwa watu serious...ukileta brands nyingine kwenye Executive meetings hawanywi...watu wa catering wanaelewa hili
 
Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,

Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ubora umepungua na si vngnevyo so wawe makini nakufatilia wachakachuaji
 
Back
Top Bottom