Maji ya Kilimanjaro yapata tuzo ya Superbrands Afrika Mashariki

Maji ya Kilimanjaro yapata tuzo ya Superbrands Afrika Mashariki

Utafiti uliofanywa kwa bidhaa zisizo za vilevi pamoja na maji umeyapa maji ya Kilimanjaro tuzo ya Superbrand Afrika mashariki kutokana na ubora wake.

Maji ya Kilimanjaro huzalishwa na kampuni ya Ipp katika kiwanda chá bonite kilichopo mjini Moshi, moja ya makampuni ya Hayati Dkt Reginald Mengi.

Kweli vinywa tumetofautiana sisi wàja!
Mimi nikilikamata "bombonya" la Uhai baridi, hunistarehesha hadi nasinzia.
 
Zamani labda,hayo ubora wake sawa na maji poa au masafi.
Bora masafi kuliko uhai.
Chumvi ya uhai unaungia mboga
Mkuu uhai ina chumvi😆😆😆! Dah
Kweli umeamuwa liwalo na liwe na kinywa cha mtu huonja kitu na kutafsiri kijisikiavyo , isee
 
Habari ya Muji ni dew drop[emoji97][emoji97]# Hiyo imeenda imeeeenda hiyooooo
 
Back
Top Bottom