Aiseemita 65
Siyo kifupi, kuna sehemu mafuta hupenya hadi kuja juu kabisa ardhini.Duh asanteni wakuu maana nimefatilia zaidi nimeambiwa crude oil ni nyeusi tii! Na kisima cha mita65 ni kifupi kutoaa mafuta!
Pwani maeneo ya kibaha hadi bagamoyo yana mafuta na kuna mradi uanendelea wakutafiti yamepitiwa na mradi hivyo sio ajabu kuanzia mlandizi vigwaza saeniChemba ya choo hiyo kuweni makini