umeonaeeeeeeeeeeee wao hilo hawalijui
kwa utaratibu wa mila zetu za kiswahili .... mwanamke kabla hajaolewa (MWARI) anapofundishwa jinsi ya kuitunza ndoa yake basi hilo ni moja ya jukumu lake kuonesha jinsi mapenzi yake yalivyo ya dhati kwako....
sasa huyo wako hakuwekei seems she doesnt take you serious as a hubby ama kuna jambo unamfanyia halipendi, ama ulimuoa kwa kutafutiwa na wazazi .... kwa mila na taratibu zetu za kiafrika jibu ni kwamba hakupendi huyo
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.
cku hizi utakuta mke na mume wana ,majukumu sawa,wote wahangaikaji na wanahudumia familia sawa,lakini bwana anataka awekewe naji,atayarishiwe nguo,bado kufuliwa chupi,na watoto wanakutizama,unyumba hujampa bado.looo na kiuno kisipokatwa shaur ya uchovu nako mwasema analala km gogo.jamani tuoneane huru,a,mkitaka yote mtufanye km wake za wapemba,hawa wenzetu kazi ya mke ni chakula cha baba na kuzaa na kulea watoto.hata sokoni wanaenda wao.
Huo sasa udikteta wa kike a.k.a mfumo jike!
Dawa yake ni kuweka maji ya bomba bafuni (shower).
Haya mambo mengine ni kujiendekeza tu na kuendekeza mfumo dume katika familia. Mimi nachopenda kukuuliza ni kwamba kwa hizo siku ulizobeba mwenyewe maji UUME wako ulitoweka?
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.
mmezidi kuonea wanawake. Hadi kulishwa mnataka mlishwe.
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?
Badala ya kusubiria kupelekewa maji ya kuoga bafuni, kwa kadiri muwezavyo pendeleeni kuoga pamoja.