Maji ya kuoga...!

Maji ya kuoga...!

umeonaeeeeeeeeeeee wao hilo hawalijui

Nyie mnaoshabikia hamjaingia ktk ndoa ama ndo huwa mnapeleka maji mnamuaribia mwenzenu kwa mawazo potofu,,, hivi kwa akili ya kawida tu si ndo inafikia hatua mnawaambia waume zenu waingie jikoni wakapike ndoa zitawashinda kabsaaaaaaaaaaaa
 
nyumba ikiwa na mabomba mpaka bafuni je????

inakuwaje????????
 
kwa utaratibu wa mila zetu za kiswahili .... mwanamke kabla hajaolewa (MWARI) anapofundishwa jinsi ya kuitunza ndoa yake basi hilo ni moja ya jukumu lake kuonesha jinsi mapenzi yake yalivyo ya dhati kwako....

sasa huyo wako hakuwekei seems she doesnt take you serious as a hubby ama kuna jambo unamfanyia halipendi, ama ulimuoa kwa kutafutiwa na wazazi .... kwa mila na taratibu zetu za kiafrika jibu ni kwamba hakupendi huyo

umenifumbua macho. Nimekuelewa na naamini ulichosema
 
cku hizi utakuta mke na mume wana ,majukumu sawa,wote wahangaikaji na wanahudumia familia sawa,lakini bwana anataka awekewe naji,atayarishiwe nguo,bado kufuliwa chupi,na watoto wanakutizama,unyumba hujampa bado.looo na kiuno kisipokatwa shaur ya uchovu nako mwasema analala km gogo.jamani tuoneane huru,a,mkitaka yote mtufanye km wake za wapemba,hawa wenzetu kazi ya mke ni chakula cha baba na kuzaa na kulea watoto.hata sokoni wanaenda wao.
 
Kuoga kwako kusumbue wengine....usisumbue mtu kwa jambo uwezalo fanya...
 
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.

Huo sasa udikteta wa kike a.k.a mfumo jike!
 
Nawe acha kulia lia kwani ukiweka mwenyewe maji yataingia pilipili?
just ignore her, do it yourself na siku akikuwekea usiyaoge maana kakuona weye ni zezeta la kuwekewa maji bafuni!!
 
hii ya kukata kiuno nimeipenda!
cku hizi utakuta mke na mume wana ,majukumu sawa,wote wahangaikaji na wanahudumia familia sawa,lakini bwana anataka awekewe naji,atayarishiwe nguo,bado kufuliwa chupi,na watoto wanakutizama,unyumba hujampa bado.looo na kiuno kisipokatwa shaur ya uchovu nako mwasema analala km gogo.jamani tuoneane huru,a,mkitaka yote mtufanye km wake za wapemba,hawa wenzetu kazi ya mke ni chakula cha baba na kuzaa na kulea watoto.hata sokoni wanaenda wao.
 
Tatizo lako umeoa bara, ungeoa huku Pwani, ungekogeshwa kabisa, nini kupelekewa maji bafuni.
 
Haya mambo mengine ni kujiendekeza tu na kuendekeza mfumo dume katika familia. Mimi nachopenda kukuuliza ni kwamba kwa hizo siku ulizobeba mwenyewe maji UUME wako ulitoweka?

Hahahahah umenichekesha sana kwa kweli kwani amebadilika nini alivobeba mwenyewe
 
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.

na mwanaume ni haki yake kutoa unyumba au kunyima basi.... hey kuna duties kwenye ndoa bwana sema kwamba wasaidiane lakini sio namna hii we vipi..?
 
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.

mmezidi kuonea wanawake. Hadi kulishwa mnataka mlishwe.

Sasa kulishwa si ndio mapenzi yenyewe bana?Tusipolishwa sisi alishwe nani tena?Mambo yote kulishwa,kuwekewa maji ya kuoga,kusuguliwa mgongoni then baadae mapumziko ya kumwagiana ubongo wa sungura.Teh!
 
Badala ya kusubiria kupelekewa maji ya kuoga bafuni, kwa kadiri muwezavyo pendeleeni kuoga pamoja.
 
Unapenda ubosi eeh! We kupeleka maji bafuni vinakushinda? Kabla hujaoa ulikuwa unapelekewa na nani?
Acheni kukera na kuchosha wake zenu. Kwanza hata unyumba ni hiari yake akupe au akunyime.

Uuuuuuwiiiii!
 
Naomba msaada wanaJF. Hivi mwanamke kumwekea maji mumewe bafuni ni wajibu au ni fadhìla tu? Nauliza hivi sababu mke wangu haniwekei maji mpaka nimgombeze au siku akipenda mwenyewe. Siku nyingi nalazimika kujibebea mwenyewe. Nimeshagombana naye mara kadhaa lakini habadiliki. Nifanyeje?

Mimi napata picha ya kuwa hiyo tabia ulishamzoesha mkeo ya kutokukuwekea maji bafuni na ndio maana leo hii anaona kero kukupelekea hayo maji!
Ushauri wangu!
Kaa chini na mkeo ongea nae kwa utaratibu mueleze majukumu yako na kiasi gani unakuwa umechoka na hivyo anapokuwekea maji bafuni huwa unajisikia anakujali sana. Naamini ya kuwa mkeo atakusikiliza na kubadilika kuanzia siku hiyo!
 
Jamani, hata kupeleka maji ya kuoga mpaka ugomvi?? Dah........japokuwa ni hiari, lakini pia ni wajibu wa mke kumpelekea mumewe maji ya kuoga!!! Sijui kwa walio kwenye ndoa, ila kwa mtazamo wangu sioni kama hiyo ni kazi kubwa saana kiasi cha kuchosha! So, afanye mume au mke vyote sawa tu, ila nionavyo mie mke ndo anatakiwa kuwa attention na hili labda kuwe na sababu ya kumzuia!
 
Badala ya kusubiria kupelekewa maji ya kuoga bafuni, kwa kadiri muwezavyo pendeleeni kuoga pamoja.

kuongezea hapo juu, Sio tu kuoga pamoja bali muogeshane kwani hupendeza sana mme ukimsugua mkeo na mke akamsugua mmewe. Nadhani maelewano ndani ya nyumba yatarudi kuwa "A"!
 
Back
Top Bottom