Maji ya maiti, kiungo muhimu katika kutengeneza limbwata

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082

Duniani kuna mambo mengi ya ajabu!

• Unatambua kuwa maji ya maiti ndo uwaga kunatoka dawa inayoitwa mnyonshe(au shuntama) daa ni huzuni ili jambo sio pouwa maji ya maiti (ndo maji pekee wanayotumia waganga wa kienyeji kutengeneza dawa ya kuwatuliza wanaume ili wasiwe na neno ndani ya nyumba. hii ni dhambi kubwa.

• Maji ya maiti yanafanya kazi za kishirikina kama kutoa mazindiko hatari kuhusu mali na vitu mbali mbali. Pamoja na kuwaloga wanaume. Daaah, nashindwa nifafanue kivip ili nieleweke sana.

• Wewe maji ya mfu unawekewa kwa msosi nawe unakula! Je... Daah ... Inauma, nyie wanawake mapenzi sio kuloga jamani.

Ngoja niishie hapo kwa leo. Aisee ila inauma, na bado unahitaji baba bora...😭😭😭😭😭😭😭😭👉😭👉😭

 
Lete ushahidi.
 
#TeamkataaNDOA
 
Hiyo shuntama nilipigwa na Kokufatuma yaani, namshukuru Mungu nilichomoka
 
Acha tu!! Hata mavi unalishwa. Mavi yake yanakaushwa, yanasagwa kwenye jiwe maalumu, ule unga wake unawekewa kwenye mboga unayoipenda. Wewe ni mtu wa ndio tu mpaka umauti unakukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…