maana yake hakuna swali, katoa maoni yake tuSijaona alama ya kuuliza umeiweka wapi.....
Mkuu chumvi inasaidia nini?Maji hayo uliyoyaka kwenye tanki si salama kama utayatumia kwa kunywa moja kwa moja bila kuchemsha au pasipo kuyatibu kwa dawa ya chlorine ama water guide.
maju ya tanki yanapokaa kwa muda mrefu wadudu huzaliana katika maji hayo na hivyo endapo utayatumia moja kwa moja badi utakuea katika hatari ya kuapta magonjwa.
pia kuwa na utaratibu wa kusafisha tanki kila matmra ba kuondoa uchafu unaotuama hii itasaidia maji hayo kuwa na usalama zaidi.
pia mvua inapo acha kunyesha kwa muda mrefu Bati huchafuka kwa vumbi, kunyesi cha ndege na mambo kama hayo. hivyo maji ya kwanza usiruhusu yaingie moja kwa moja kwenye tanki lako acha maji hayo yamwagike chini hadi uone badi limekuwa safi ama maji yameanza kuwa safi ndio uruhusu maji hayo kuingia katika tanki.
nakushauri pia kila baada ya muda fulan basi uwe unaweka chumvi katika tanki hilo la maji pia usisahau kuwa unayatibu kwa water guide.
maji hayo yatakuwa salama kwa matumizi ya nyumbani kwako.
Mkuu hapa umenena. Tena haya mabati au vigae vya wapi sijui vyenye viupele upele vinavyoweza kuwa vinabanduka taratibu vikichanganyika na maji ya mvua na kuingia kwenye tank na kisha kunywewa naona ni hatari zaidi. Hii nadhani haijalishi kama maji yenyewe yamechemshwa au la!Maji hayo uliyoyaka kwenye tanki si salama kama utayatumia kwa kunywa moja kwa moja bila kuchemsha au pasipo kuyatibu kwa dawa ya chlorine ama water guide.
maju ya tanki yanapokaa kwa muda mrefu wadudu huzaliana katika maji hayo na hivyo endapo utayatumia moja kwa moja badi utakuea katika hatari ya kuapta magonjwa.
pia kuwa na utaratibu wa kusafisha tanki kila matmra ba kuondoa uchafu unaotuama hii itasaidia maji hayo kuwa na usalama zaidi.
pia mvua inapo acha kunyesha kwa muda mrefu Bati huchafuka kwa vumbi, kunyesi cha ndege na mambo kama hayo. hivyo maji ya kwanza usiruhusu yaingie moja kwa moja kwenye tanki lako acha maji hayo yamwagike chini hadi uone badi limekuwa safi ama maji yameanza kuwa safi ndio uruhusu maji hayo kuingia katika tanki.
nakushauri pia kila baada ya muda fulan basi uwe unaweka chumvi katika tanki hilo la maji pia usisahau kuwa unayatibu kwa water guide.
maji hayo yatakuwa salama kwa matumizi ya nyumbani kwako.
Maji ya kuchemsha hayana ladha. Sithubu kabisa kuchemsha kwasababu ukichemsha unaua vile vijidudu, alafu vikifa si vinakuwa marehemu?!! Vikioza sasa!!! Bora kuvinywa vizima na utamu wake.Mie hata kama maji ni ya mvua lazima nichemshe kwa sababu lazima yapitie kwenye bati/gutter hivyo sio
Salama kwa 100%
Hizi thread jamaniiii khaaaMaji ya kuchemsha hayana ladha. Sithubu kabisa kuchemsha kwasababu ukichemsha unaua vile vijidudu, alafu vikifa si vinakuwa marehemu?!! Vikioza sasa!!! Bora kuvinywa vizima na utamu wake.
NawasilishaWanageo science na wabobezi wa geography na yeyote mwenye elimu ya afya kuhusu maji ya mvua ni salama ukiyanywa bila kuchemshwa. Naomba ushauri nimekuwa nikiyakusanya kwenye matank hapa kwangu na kuyatumia kunywa na kazi zingine.
Je maji ya mvua bila kuchemshwa ni salama?
Nawakilisha
Water guardMaji hayo uliyoyaka kwenye tanki si salama kama utayatumia kwa kunywa moja kwa moja bila kuchemsha au pasipo kuyatibu kwa dawa ya chlorine ama water guide.