Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Kunguru wanadondosha mizoga juu ya paa za nyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha umenichekesha mkuuMaji ya kuchemsha hayana ladha. Sithubu kabisa kuchemsha kwasababu ukichemsha unaua vile vijidudu, alafu vikifa si vinakuwa marehemu?!! Vikioza sasa!!! Bora kuvinywa vizima na utamu wake.
Inategemea mazingira ya maji hayo. Kwa mfano maji ya mvua inayonyesha maeneo kama mijini ambako kuna uchafuzi mkubwa wa mazingira si salama. Pili, yanaweza yakawa maji ya mvua ambayo ni salama lakini ukayatunza katika chombo (Tank) ambayo ni chafu. Maji hayo yatakuwa si salama tena. Usalama wa chakula cha aina yoyote ikiwemo maji inategemea mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na wewe binasi unavyohandle hicho chakula.Wanageo science na wabobezi wa geography na yeyote mwenye elimu ya afya kuhusu maji ya mvua ni salama ukiyanywa bila kuchemshwa. Naomba ushauri nimekuwa nikiyakusanya kwenye matank hapa kwangu na kuyatumia kunywa na kazi zingine.
Je maji ya mvua bila kuchemshwa ni salama?
Nawakilisha
"Water guide?" Hiki ni kitu gani?Nashukuru sana kwa mawazo nitaanza kuchemsha na kuyachuja na kuweka water guide. Ushauri nimeuchukua
Maji hayo uliyoyaka kwenye tanki si salama kama utayatumia kwa kunywa moja kwa moja bila kuchemsha au pasipo kuyatibu kwa dawa ya chlorine ama water guide.
maju ya tanki yanapokaa kwa muda mrefu wadudu huzaliana katika maji hayo na hivyo endapo utayatumia moja kwa moja badi utakuea katika hatari ya kuapta magonjwa.
Pia kuwa na utaratibu wa kusafisha tanki kila matmra ba kuondoa uchafu unaotuama hii itasaidia maji hayo kuwa na usalama zaidi.
pia mvua inapo acha kunyesha kwa muda mrefu Bati huchafuka kwa vumbi, kunyesi cha ndege na mambo kama hayo. hivyo maji ya kwanza usiruhusu yaingie moja kwa moja kwenye tanki lako acha maji hayo yamwagike chini hadi uone badi limekuwa safi ama maji yameanza kuwa safi ndio uruhusu maji hayo kuingia katika tanki.
nakushauri pia kila baada ya muda fulan basi uwe unaweka chumvi katika tanki hilo la maji pia usisahau kuwa unayatibu kwa water guide.
maji hayo yatakuwa salama kwa matumizi ya nyumbani kwako.