Maji yaadimika Nairobi

Maji yaadimika Nairobi

Kenya nchi ya hovyo sana

Nairobi 70% hawana tap water wanategemea browsers na maji machafu ya miferejini, kuna mambo Tanzania wanachukulia poa ila kwenye nchi nyingine ni serious issues

Kama Nairobi Ina water crisis kubwa hivi, hizo counties za pembeni zina hali gani?
 
Heee...juzi nyoka kule Baringo wanauma watu kila nyumba, umeme wa mgao, mafuriko, Leo tena maji yamekwenda!!!! Kwa jirani tupeleke turubai leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeme sio wa mgao. Ulipotea nchi nzima mara ya kwanza kwa miaka minne. Umeme huku sio wa mgao kama huko kwenu LDC
 
Makenya bwana sijui yenyewe yalizaliwaje niliwahi ingia choose cha umma aisee wanakunya mpaka mlangoni
Uongo mtupu. Choo zetu unalipia ndio uitumie. Kwa hivyo choo hizo huoshwa. Umesahau nyie watoto wenu walikuwa wanaishi ndani ya choo wakikula mavi?
 
Back
Top Bottom