Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
TANGAZO LA UFAFANUZI

Ndugu wateja tunapenda kuwafahamisha ya kwamba tangu Juni mosi 2022 bili zote za maji zilianza kutolewa kwa kutumia kikokotoo kipya kinachojulikana kwa jina la kitaalam MANDONGA- NDOIGE CALCULATOR (Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka)

Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzako.

MAJI NI UHAIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„


Kimsingi ni kawaida sana kuwa na shida ya maji kipindi chote
 
Kweli hiki ni kikokotoo kipya. Kinapiga kulia na kushoto
 
Ndoige Calculator isiposoma maji inasoma upepo mnalipia upepo.
 
(Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka)[emoji848][emoji2827]
 
Umecopy na kupaste kwa hilda Newton, basi ingependeza ungempa credit mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…