Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Heshima kwenu!
Nilikuwa na tatizo la kukosa hamu ya kula kwa miaka zaidi ya Saba nimetumia Dawa za minyoo, nimetumia viyamini B Lakini sikupata unafuu wowote. miezi mitatu iliyopita nilienda kupima afya pamoja na magonjwa mengine niliambiwa ninaminyoo nikapewa Dawa lakini chakushangaza baada ya wiki tatu nilipoenda kupima tena nikaambiwa Nina minyoo tena; nilibadilishiwa Dawa lakini baada ya wiki tatu nikaenda kupima sikuwa na minyoo.
kabla ya heka heka za kupima nilishauriwa kunywa maji mengi nilikunywa niwezavyo bila mafaninikio. wiki mbili zilizopita nilikutana na ratiba ya kunywa maji Facebook na baada ya kuifuata ile ratiba siku moja baada ya kuifuata hiyo ratiba ninaham ya kula ajabu chakula ambacho nilikuwa nakula simalizi sasa namaliza na si shibi. na baada ya muda njaa inaniuma.
Je maji yameniponya?