Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Embu tuangalie maji H2O, haya Ili moto uwake unahitaji hewa( O2) na kichocheo( organic materials). Ili moto uzime mfano mbao reaction inayotokea ni mchanganyikoHapa mchawi inorganic chemistry.
Water,+ fire +, air +and +soil = LifeWater is life, Fire is hell
God is Life, Satan is Hell
So God is stronger than Satan
Thats why Water stops Fire.
Haya mambo yalitufanye tusome Arts, sasa umri huu unaturudisha tena kule kule?Habari wana JF. Maji yanafanyaje hadi yanazima moto? Na kwa nini vitu vibichi huwa "haviwaki"? Pia inawezekana maji yakashika moto na kuwaka kama ilivyo kwa mafuta, ponbe nk? Kiufupi naomba kupata elimu juu ya moto na maji. Natanguliza shukrani.
Habari wana JF. Maji yanafanyaje hadi yanazima moto? Na kwa nini vitu vibichi huwa "haviwaki"? Pia inawezekana maji yakashika moto na kuwaka kama ilivyo kwa mafuta, ponbe nk? Kiufupi naomba kupata elimu juu ya moto na maji. Natanguliza shukrani.
Embu tuangalie maji H2O, haya Ili moto uwake unahitaji hewa( O2) na kichocheo( organic materials). Ili moto uzime mfano mbao reaction inayotokea ni mchanganyiko
Maji yanapooza moto kwa maana yanashusha joto kiasi cha kufanya moto usiwake kwa kufanya hivyo maji yanakuwa yametengeneza kinga kati ya kinachowaka na oxygen hivyo kupelekea moto kuzima kwa sababu kile kinachowaka moto kinakuwa kimepoozwa chini ya alama ya kulipuka. (Ignition point)Habari wana JF. Maji yanafanyaje hadi yanazima moto? Na kwa nini vitu vibichi huwa "haviwaki"? Pia inawezekana maji yakashika moto na kuwaka kama ilivyo kwa mafuta, ponbe nk? Kiufupi naomba kupata elimu juu ya moto na maji. Natanguliza shukrani.
[emoji23][emoji23]Nenda fire pale
Habari wana JF. Maji yanafanyaje hadi yanazima moto? Na kwa nini vitu vibichi huwa "haviwaki"? Pia inawezekana maji yakashika moto na kuwaka kama ilivyo kwa mafuta, ponbe nk? Kiufupi naomba kupata elimu juu ya moto na maji. Natanguliza shukrani.
Shukrani. Nimepata mwanga.Moto una tafsiri yake kisayansi, kwa kifupi moto ni hali inayotokea ikiwa vitu vitatu vitakutana kwa wakati na mahali pamoja;
1. Oxygen atleast (16%)
2. Heat atleast 65 degrees centigrade na
3. Fuel (si kwa maana ya mafuta bali kitu chochote ambacho ni chakula cha moto) mf. Karatasi, mbao, nguo nk nk.
Pia kuna classes za moto ziko 6 na kila class ina namna ya kuuzima.
Kuna class za moto ambazo maji yanaweza zima na kuna class usithubutu kutumia maji.
Pia kujibu swali la kwa nini maji hayawaki ni kuwa ukirejea hapo juu kwenye tafsiri utaona ili moto utokee unahitaji heat zaidi ya 65 degrees ss maji temperature iko chini lakini hata yakiwa ya moto bado oxygen amount kwny maji ni kidogo kiasi cha kutosupport moto.
Moto tu pekee ni somo pana sana ukiachilia mbali namna ya kudeal nao, wataalam zaidi wataeleza mengine nimechoka kuandika wakuu.