Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Comment ya pili haikuwa necessary, huduma hizi ni haki yetu tena si huduma tu, huduma bora, kama maji hayana presha wanatakiwa kuhakikisha tunapata maji kwa presha stahiki, hatufanyiwi hisani, tunazilipia, ni HAKI yetuNunua pump, vuta hayo maji kwenye tanki lako,
Mkuu, ata ukiwashwa utakuja kutuomba ushauri, jikune au kakunwe
Huku yanachuruzika taratibuuuu yaani ni ya kuyasikilizia, ni kama vile yanakatika muda wowoteKwetu yanatoka hadi yanapasua mabomba. Tabata Bonyokwa
Haitakiwi kuwa hivi Mkuu, ubaya ni kwamba hatuna umoja kwenye kudai haki zetuKama yanatoka shukuru,Goba ni hatarii tunapishana na maboza tuu
Hapo ndio unajua kuna watu mahala wanafanya yao wale kwa urefu wa kambaMtaani kwangu yanachagua Mtaa Kuna maeneo Ni mwaka na mwezi Sasa hayajatoka.
Ajabu Jamaa kila wakija wanakuja na mpya Mara Tunaongeza Bomba presha iwe kubwa Mara Tunaongeza pump.
Juzi wamekula kipondo jioni ..asubuhi maji yametoka.
Mwenyekiti was eneo ndio kinara was kula njama na wauza maji was Magari na Hawa wanaosambaza mabomba ya maji ya visima binafsi.Hapo ndio unajua kuna watu mahala wanafanya yao wale kwa urefu wa kamba