Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu kwema,
Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile, ndogo sana.
Mpaka leo hii maji yanatoka kidogo kidogo sana kiasi kwamba hata kama mtu una tenki la akiba ni kazi bure maana presha haitoshi kupandisha maji.
Wakuu maeneo mengine kwa Dar hali ikoje, isije ikawa ni huku Mbezi tu walikozoea kutuonea kila mara?
Wizara ya Maji na DAWASA nini kinaendelea? Maji yasipotoka basi tunakomolewa presha inakuwa ndogo!😒😒
Pia soma: Hatimaye maji yameanza kutoka Mbezi Beach kwa Zena, JF mbarikiwe