Maji yaniponesha malaria

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Heshima mbele wakuu..
Nina mwezi wa tatu sasa nikiamka tu alfajiri wakati naenda haja ndogo lazima nigonge mag moja ya maji then narudi kulala.
_hii nafanya kabla hata sijaswaki na baada ya hapo utumbo huwa nasikia utumbo ukijonyoosha na ikifika muda rasmi wa mimi kuamka lazima nipate haja kubwa..na baada ya hapo huwa najisika mwepesi sana!
_kabla ya hapo nilikuwa nasumbuliwa na malaria kila mwezi lazima ninywe dozi ila wakuu kwa sasa huko pharmacy nadhani wananitafuta sana mteja wao.
__sio mafua wala kikohozi_
Glory be to God almighty
 
we ndo unastukia leo?
Mi ndo maisha yangu hayo, asubuhi kabla sijala wala kupiga mswaki najidunga lt zangu 2 , mchana lt 2, ucku nacheza na 2 au 1
nina miaka 6 sasa sijui dawa za hisani ya wa America zinauzwaje!
 
mkuu. Majigo umenichekesha kweli eti kwa Hisani ya marekani!!!
kumbe niogeze dozi ya maji sio?
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mtu anaye kunywa maji mengi tatizo la maleria his ni marachach san,unashauliw uwamkapo asubui unywe maji japo glas 1 au 2 ili usipatwe na maradh mbalimbal,siku zote mleria cha kwanz kufanya ktk mwil ni kufyonza maji
 
we ndo unastukia leo?
Mi ndo maisha yangu hayo, asubuhi kabla sijala wala kupiga mswaki najidunga lt zangu 2 , mchana lt 2, ucku nacheza na 2 au 1
nina miaka 6 sasa sijui dawa za hisani ya wa America zinauzwaje!

Ila huyo mwenzio anazidisha, kunywa mpaka lita 3.7 kwa siku na si zaidi ya hapo, kwa maelezo zaidi nenda hapa

Si utani. Maji ni tiba ya kwanA

Muujiza ya matibabu kwa maji ya uvuguvugu ya kunywa

magonjwa yanatibiwa na maji ya uvuguvugu

- pumu= asthma

- shinikizo la damu= hbp

- migraine / kichwa= migraine/ headache

- ugonjwa wa sukari= diabetes

- upungufu wa damu= anemia

- maumivu nyuma= back pain

- mawe katika figo= urinary calculus

- maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection

- cholesterol= cholesterol

- baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis

- kiharusi =stroke

- udhaifu wa mwili =sexual and body weakness

- kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue

- tonsili =tonsillitis

- vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)

- mafua/homa =colds, flu & fever

- kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)

- kichome kwenye roho= heartburn

- kidonda tumboni =stomach ulcer

- kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation

- kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism

- kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)

- magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)

- kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)

- maradhi ya moyo =heart disease

- saratani= cancer

- usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period

HAYA WAKUU KUNYWENI MAJI YA UVUGUVUGU KILA SIKU ASUBUHI MCHANA NA USIKU YANATIBU MARADHI MENGI SANA.

CHANZO.Topic: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa

Attachments

  • heart_ani.gif
    39.3 KB · Views: 300
Mzizi Mkavu shukrani kwa kutembelea uzi wangu huu ila hujaeleza tunywe maji kiasi gani na saa ngapi
 
Last edited by a moderator:
we ndo unastukia leo?
Mi ndo maisha yangu hayo, asubuhi kabla sijala wala kupiga mswaki najidunga lt zangu 2 , mchana lt 2, ucku nacheza na 2 au 1
nina miaka 6 sasa sijui dawa za hisani ya wa America zinauzwaje!

Fix izo, we unajua ujazo wa 2 lts? Alafu eti asubuhi? Au una maana glass mbili?
 
Fix izo, we unajua ujazo wa 2 lts? Alafu eti asubuhi? Au una maana glass mbili?

sio fiksi mkuu TECHMAN lt2 ni chamtoto sana mbona...kama unabisha uje maskani tuwekeane dau, najidunga lt3 za maji ya uvuguvugu ,lasivyo dau lote linabaki kwako!
 
Last edited by a moderator:
sio fiksi mkuu TECHMAN lt2 ni chamtoto sana mbona...kama unabisha uje maskani tuwekeane dau, najidunga lt3 za maji ya uvuguvugu ,lasivyo dau lote linabaki kwako!
mkuu kama ulivyosema kuwa unajidunga lita 2 asubuhi mara tu unapoamka, kweli maji ni afya lakini hiyo yako sio afya sasa, kuna kiwango cha maji kwa muda maalum, sio kukikita tu mimaji kama vile wamwagilia shamba, huwezi kunambia kuwa wanywa lita 2 with 15 mnts labda kamawewe ni mgonjwa, hiyo sio kiafya.
 
usemayo ni kweli kiongozi ..maana hata dokta wangu MziziMkavu alinishauri na ndio maana nikaacha kunywa lt3
ahsante kwa ushauri mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mzizi Mkavu shukrani kwa kutembelea uzi wangu huu ila hujaeleza tunywe maji kiasi gani na saa ngapi

usemayo ni kweli kiongozi ..maana hata dokta wangu MziziMkavu alinishauri na ndio maana nikaacha kunywa lt3
ahsante kwa ushauri mkuu
Kwa Mtu Mgonjwa wa Maradhi yoyote inatakikana awe anakunywa

maji
Uvuguvugu unapo amka Asubuhi kabla ya kupiga mswaki unywe Glasi 2 za Maji ya Uvuguvugu na baada ya kupiga

Mswaki anywe glasi 1 na kabla ya kunywa chai unywe Glasi moja ya maji ya
Uvuguvugu kila siku afanye hivyo kwa wakati wa asubuhi.

Na Wakati wa mchana Dakika 15 au dakika 30 kabla ya kula chakula cha mchana unywe Maji ya Uvuguvugu Glasi 1.

Na Wakati wa chakula cha Usiku unatakiwa unywe Maji ya Uvuguvugu Glasi 2 kabla ya kula chakula cha usiku.

na unywe Maji ya Uvuguvugu Glasi 1 kabla ya kwenda kulala usiku.
 
glasi 9 hapo dkt
kumbe mimi ninakosea kunywa lita 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…