Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
Heshima mbele wakuu..
Nina mwezi wa tatu sasa nikiamka tu alfajiri wakati naenda haja ndogo lazima nigonge mag moja ya maji then narudi kulala.
_hii nafanya kabla hata sijaswaki na baada ya hapo utumbo huwa nasikia utumbo ukijonyoosha na ikifika muda rasmi wa mimi kuamka lazima nipate haja kubwa..na baada ya hapo huwa najisika mwepesi sana!
_kabla ya hapo nilikuwa nasumbuliwa na malaria kila mwezi lazima ninywe dozi ila wakuu kwa sasa huko pharmacy nadhani wananitafuta sana mteja wao.
__sio mafua wala kikohozi_
Glory be to God almighty