Majibu 22 aliyoyatoa Masoud Masoud katika Mkasi...He is Maestro


Masoud Masoud aka Nigga J..Faiza Fox unamfahamu nafikiri baada ya kufika Dar..huyu mie namfahamu nikiwa kinda maana alisoma na broda yangu ..original kwao ni Tabora,bb yake kachanganya mnyamwezi na msomali.ana dada zake wazuri sana ila umri kwa sasa umeshaenda..amekulia shinyanga baba yake alikua HR wa mwadui..Masoud alisoma Shinyanga Secondary School lakini hakumaliza alitimuliwa kwa utoro ndo
Akakimbilia Dar na kuwa dj YMCA.kiukweli kilevi anakinywa ndo moja sababu ya utoro shuleni ulosababisha atimuliwe shule..baba yake mzazi bado yupo pale mtaa wa bachu tabora mjini.mm nilisoma na mdogo wake mmoja anaitwa Ahmed yupo hapo kkoo nae ni tapeli tapeli hivi maana mara yuko dar na sometimes mombasa!
 
Tukiweka hayo matatizo yake binafsi pembeni, huyu jamaa akikaa studio na mic mdomoni basi ni mahiri sana tena sana kwenye fani hii ya radio personality na mimi binafsi sijaona mtangazaji yoyote yule bongo anayemzidi kipaji huyu MM interms of sauti yake na general knowledge ya vitu vingi in life.
TV personality = P. Mayalla
Radio personality = Masoud Masoud aka Negro J / Niga J
 
mimi nimesikia wewe ni mzuri
sasa kama hao ni wazuri wa wewe kuwasifia hivi
basi balaa lol

chief nakuambia wale ni moto hao aliowasema ff kwa michuzi si hao naona hao ni kwa uzao wa mama mwingine wale watoto ni moto balaa ha ha ha ukiwaona wewe wallah itakuwa kosa la jinai usipotupa ndoano.
 
chief nakuambia wale ni moto hao aliowasema ff kwa michuzi si hao naona hao ni kwa uzao wa mama mwingine wale watoto ni moto balaa ha ha ha ukiwaona wewe wallah itakuwa kosa la jinai usipotupa ndoano.


aisee hebu fanya mchakato wa facebook basi maana google siwapati
 

Sijui umri wako Faiza.....ila hayo yooote uliyoyaeleza mbona ndizo sifa kuu za wanaume kwa asilimia tisini ?

Ukiona mwanaume sio tapeli kwa mwanamke...basi ni kwamba tu ameshindwa afanye nini awe tapeli...wengi hutamani kuwa matapeli kwa wanawake...tatizo ni kukosa hicho kipaji.

Kwa upande wa weledi wa kazi yake....amewaacha wengi.
 
diamond + ally kiba hawafikii hata chembe ya kipaji cha linex
 

Utapeli nnao uongelea mimi si kwa wanawake tu. Nisome vizuri.
 
Hii comment imekaa kidemu....wewe ni demu ?

Mbona wewe ndio umekaa kikahaba kahaba?

Kama unawashwa kijambio njoo kwangu Gang Chomba hazibuhi mitalo inayonuka kama wewe. Jifunze kusafisha kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Bi Faiza huyu MM namkubali sana kwenye utangazaji. Shukran kwa kutujuza hayo mengine. Mungu amsamehe
MM nadhani kwa sasa ndie radio personality mahiri kuliko wote bongo. Jamaa anaijua kazi yake na he's very knowledgeable

Sifa kubwa ya MM ni sauti na Maneno matam, sifa kuu ya matapeli wote. Zaidi ya hayo hana analolijuwa zaidi ya kuwa hi kufundisha madrassa hapo zamani za kale. Na Quran aliitupa kwa kuwa cha-pombe nayo imemtupa.

Nimemkamata huyu Masoud Masoud na upotoshaji wake. Kuna sehemu alikuwa anazungumzia majina ya bendera za nchi tofauti tofauti.

Akataja jina la bendera ya Tanzania (kwenye dakika ya 08:39 - 08:40) akasema inaitwa Uhuru na Umoja.

Akaja kwenye jina la bendera ya taifa la Marekani (kwenye dakika ya 08:42 - 08:45) na kwa uhakika na kujiamini kabisa, akasema eti inaitwa "The Star Spangled Banner".

Hapo kaboogie. Bendera ya taifa la Marekani inaitwa "Old Glory". Star Spangled Banner ni jina la wimbo wa taifa la Marekani.

Bofya hapa uone Star Spangled Banner ni nini. Na bofya hapa uone Old Glory ni nini.

Angalieni wenyewe jinsi alivyoboogie kwenye video ya kipindi cha Mkasi. Ili kuokoa muda nendeni moja kwa moja kwenye dakika na sekunde nilizoziweka hapo juu.

 
Last edited by a moderator:

Ww hujawahi kuchanganya vitu ktk maongezi yako?hiyo haitoshi kumfanya asiwe mtangazaji nguli aliwah kutokea bongo
 
Last edited by a moderator:

Wewe nawe boya kweli, hivi haya maneno yako ndio yataondoa ukweli kwamba Masoud Masoud ana kipaji cha pekee?

Mbona Cnn juzi tu walikuwa na typing error? Akili za kitumwa hizi ndio maana upo utumwani.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu NN hapo atakuwa ameboa lakini bado namkubali. Kama Obama alivyochemka kusema US has more than 51 statesπŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
MM ni zaidi ya mnavyomjua! Mfano wake kwa mbali ungeweza kumlinganisha na Marehemu Abdul Masud Jawewa! Japo naye hakumfikia! Anasauti ya kumtoa nyoka pangoni, anauelewa wa hali ya juu wa mambo, na hufanya kazi kwa weledi mkubwa! Mimi husikiliza vipindi vyake hata kama ni usiku wa manane. Katika TBC mimi humfuata yeye tu na baada ya hapo nahama station! He is a legend!
 
Mkuu NN hapo atakuwa ameboa lakini bado namkubali. Kama Obama alivyochemka kusema US has more than 51 statesπŸ™‚

Tatizo wabongo hatuna mazoea ya ku-fact check kauli za watu. Sasa akijitokeza mtu kama huyo Masoud halafu aongee kwa kujiamini mbele ya hadhira iliyojaa ujinga, basi ataonekana mjuzi sana.

Wewe si umeona hata hao waliokuwepo kwenye hiyo salon hakuna hata mmoja aliyem-check......ni kwa sababu hawajui.

Basi ni humu JF hakuna tofauti.
 
Facts can be very manipulative.....and people who ALWAYS access them are prone to MENTAL SLAVERY........
,,...πŸ˜‰πŸ˜Ž*****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…