Majibu 22 aliyoyatoa Masoud Masoud katika Mkasi...He is Maestro


We wajua nini labda tujuze mjuzi sana..hawakumchek coz walisema mapema hawajui.we utakosoa usichokijua??hata we nahakika hujui kila kitu.
 
20. Mke wake wa mwisho 2005,,,
salama nae alikuwa ana mchecheto wa kukutana na maestro masoud bin masoud ilibidi amuulize mtu mzima anaponea wapi kutoa migundigundi kama tangu 2005 au naye ndo mzee wa mbuzi hataki stress!
 
na we utakuwa mwana habari mzuri manake hiyo samari nimeifurahia sana
 

Mimi hata sijasikiliza alichoongea lakini hayo maneno ya Uhuru na Umoja nadhani yako kwenye nembo na sio bendera au bendera na nembo siku hizi ni kitu kimoja?
 
Last edited by a moderator:
Nilipenda aliposema Machangudoa ktk sekta ya habari ni wengi, hivyo hata hapa ktk jukwaa vilevile wengi tumeshazoea hao makanjanja hivyo tunaona kama Masoud M. anajidai ila waerevu watakua wamemuelewa. Kwa ukweli huyu mzee anaijua kazi yake ipasavyo na ndiye anayenifanya angalau nisikilize RTD [TBC Taifa)
 

Maneno mazito sana hayo mkuu
 
Amenifraisha kwenye mipasho na taarab hamna kitu nachukia duniani kama huo upuuzi .
 
Nitamtafuta huyu Jaji wa kipindi cha Serebuka
 
Nyongeza tu: 1.Kiba 2.Marlow (niliwahi kumsikia kitambo sijui yuko wapi) na yule mtoto wa Morogogo (aliimba masogange).

Hata jina lake humjui, wewe hufai hata kutoa maoni ya nani bora nani sibora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…