Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
hahahahaha!
Tv anayo ila anaangalia marichui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tv anayo ila anaangalia marichui
Tatizo wabongo hatuna mazoea ya ku-fact check kauli za watu. Sasa akijitokeza mtu kama huyo Masoud halafu aongee kwa kujiamini mbele ya hadhira iliyojaa ujinga, basi ataonekana mjuzi sana.
Wewe si umeona hata hao waliokuwepo kwenye hiyo salon hakuna hata mmoja aliyem-check......ni kwa sababu hawajui.
Basi ni humu JF hakuna tofauti.
We wajua nini labda tujuze mjuzi sana..hawakumchek coz walisema mapema hawajui.we utakosoa usichokijua??hata we nahakika hujui kila kitu.
Nimemkamata huyu Masoud Masoud na upotoshaji wake. Kuna sehemu alikuwa anazungumzia majina ya bendera za nchi tofauti tofauti.
Akataja jina la bendera ya Tanzania (kwenye dakika ya 08:39 - 08:40) akasema inaitwa Uhuru na Umoja.
Akaja kwenye jina la bendera ya taifa la Marekani (kwenye dakika ya 08:42 - 08:45) na kwa uhakika na kujiamini kabisa, akasema eti inaitwa "The Star Spangled Banner".
Hapo kaboogie. Bendera ya taifa la Marekani inaitwa "Old Glory". Star Spangled Banner ni jina la wimbo wa taifa la Marekani.
Bofya hapa uone Star Spangled Banner ni nini. Na bofya hapa uone Old Glory ni nini.
Angalieni wenyewe jinsi alivyoboogie kwenye video ya kipindi cha Mkasi. Ili kuokoa muda nendeni moja kwa moja kwenye dakika na sekunde nilizoziweka hapo juu.
Nilipenda aliposema Machangudoa ktk sekta ya habari ni wengi, hivyo hata hapa ktk jukwaa vilevile wengi tumeshazoea hao makanjanja hivyo tunaona kama Masoud M. anajidai ila waerevu watakua wamemuelewa. Kwa ukweli huyu mzee anaijua kazi yake ipasavyo na ndiye anayenifanya angalau nisikilize RTD [TBC Taifa)
Nyongeza tu: 1.Kiba 2.Marlow (niliwahi kumsikia kitambo sijui yuko wapi) na yule mtoto wa Morogogo (aliimba masogange).