Majibu; je, ni sahihi kufanya mapenzi wakati mkeo akiwa na mimba?

Majibu; je, ni sahihi kufanya mapenzi wakati mkeo akiwa na mimba?

eti ni kweli kipindi cha ujauzito "K" inakuwa ya moto na tamu sana??

Kuna rafiki angu alikuwa mjamzito Mbeya...wanaume walikuwa wakimtongoza sana...wanadai ana joto na kule kuna baridi.
Aliporudi Dar kwenye joto pia hali ilikuwa ni ileile kutongozwa.

Sasa hapo cjui ukweli ni upi ni tamaa tu na kutaka kumfaidi dada mjamzito...au kweli wanakuwa na joto la ajabu.
 
asante sana dr, haya ndo tunayahitaji jf
 
Back
Top Bottom