Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM.
Kusema kweli hii ni "logical fallacy".
Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira.
Hivyo, jambo la kufanya ni tushirikianeni sote kulinda mazingira na kupiga vita uharibifu wa mazingira huko tupate mvua, tuvune mazao ya kutosha, bei ya chakula ishuke.
Vinginevyo maneno matupu hayatashusha bei ya vyakula.