Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
Unatakiwa kujua kuwa mkulima naye anazalisha kwa shida, hivyo anatakiwa auze kwa bei ya soko (la nje au ndani au yote) kumlazimisha auze wapi ni kumdhulumu. Aidha, watu wote wanatakiwa wapate chakula japo kwa kununua. Kuzuia wengine wasipate chakula japo kwa kununua sio ubinadamu.Baada ya soko la nje ya nchi kuwa na bei kubwa kuliko soko la ndani ilibidi soko la ndani lishindane bei Ili chakula kiweze kubaki nchini ndiyo chakula kikapanda
Ingekuwa soko la nje bei Iko chin ushindani ungekuwa mdogo hivyo chakula kingi kisingetoka nje ya mipaka yetu bei ingekuwa chin kawaida.
Hata Leo chakula kikipigwa marufu kwenda nje kitashuka vibaya utashangaa.
Unaposema... "hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira.."Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM.
Kusema kweli hii ni "logical fallacy".
Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira.
Hivyo, jambo la kufanya ni tushirikianeni sote kulinda mazingira na kupiga vita uharibifu wa mazingira huko tupate mvua, tuvune mazao ya kutosha, bei ya chakula ishuke.
Vinginevyo maneno matupu hayatashusha bei ya vyakula.
Ndio.Hii ni uhakikaUnaposema... "hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira.."
Umefanya research ukajiridhisha kwamba hiyo ndo sababu pekee?
Uhakika from what source?Ndio.Hii ni uhakika

Kwani sera ya kilimo inasemaje na ni kipengele gani specific ambacho unadhani ndio kimepandisha bei ya vyakula?Uhakika from what source?
Weka ushahidi hapa wa unachokitetea.. Unadhani tutaamini maneno yako matupu
Mi naweza kukuthibitishia chakula kimepanda bei partly kutokana na nguvu ya soko na partly kwasababu ta sera mbovu za serikali kwenye value chain nzima ya kilimo.
Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM.
Kusema kweli hii ni "logical fallacy".
Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira.
Hivyo, jambo la kufanya ni tushirikianeni sote kulinda mazingira na kupiga vita uharibifu wa mazingira huko tupate mvua, tuvune mazao ya kutosha, bei ya chakula ishuke.
Vinginevyo maneno matupu hayatashusha bei ya vyakula.
huna hojaKuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM.
Kusema kweli hii ni "logical fallacy".
Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira.
Hivyo, jambo la kufanya ni tushirikianeni sote kulinda mazingira na kupiga vita uharibifu wa mazingira huko tupate mvua, tuvune mazao ya kutosha, bei ya chakula ishuke.
Vinginevyo maneno matupu hayatashusha bei ya vyakula.
Acha uongo.Mtu mzima weye!Baada ya soko la nje ya nchi kuwa na bei kubwa kuliko soko la ndani ilibidi soko la ndani lishindane bei Ili chakula kiweze kubaki nchini ndiyo chakula kikapanda
Ingekuwa soko la nje bei Iko chin ushindani ungekuwa mdogo hivyo chakula kingi kisingetoka nje ya mipaka yetu bei ingekuwa chin kawaida.
Hata Leo chakula kikipigwa marufu kwenda nje kitashuka vibaya utashangaa.
Anatujaribu aone kama tutaingia kingi.huna hoja
Umeelezwa uweke ushahidi.Badala yake unaweka maswali.Kichwa yako iko musuri kweli?Kwani sera ya kilimo inasemaje na ni kipengele gani specific ambacho unadhani ndio kimepandisha bei ya vyakula?
Kwa hiyo wewe suala la ukame na mabadiliko ya tabia ya nchi, mazao kukauka, mifugo kufa kwa kukosa maji na malisho, hulioni hadi uletewe reserch ambayo imekuwa reviewed na watu wasiopungua watatu?
Acha story zako za vijiweni!😃Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM.
Kusema kweli hii ni "logical fallacy".
Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira.
Hivyo, jambo la kufanya ni tushirikianeni sote kulinda mazingira na kupiga vita uharibifu wa mazingira huko tupate mvua, tuvune mazao ya kutosha, bei ya chakula ishuke.
Vinginevyo maneno matupu hayatashusha bei ya vyakula.
Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM.
Kusema kweli hii ni "logical fallacy".
Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira.
Hivyo, jambo la kufanya ni tushirikianeni sote kulinda mazingira na kupiga vita uharibifu wa mazingira huko tupate mvua, tuvune mazao ya kutosha, bei ya chakula ishuke.
Vinginevyo maneno matupu hayatashusha bei ya vyakula.
Hivi kukatwa miti na kutumia kuni hapa nchini vimeanza leo au jana nchi hii?Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM.
Kusema kweli hii ni "logical fallacy".
Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira.
Hivyo, jambo la kufanya ni tushirikianeni sote kulinda mazingira na kupiga vita uharibifu wa mazingira huko tupate mvua, tuvune mazao ya kutosha, bei ya chakula ishuke.
Vinginevyo maneno matupu hayatashusha bei ya vyakula.
Wa kulaumiwa ni Nyerere alisema kwenye gazeti la Observer kwamba katiba yetu ni ya kidikteta.Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM.