Majibu kutoka kwa Doctor

Majibu kutoka kwa Doctor

Simple on looking

Senior Member
Joined
May 27, 2014
Posts
100
Reaction score
34
Wana jf habari,?

Nilileta uzi wangu humu kuhusu hali yangu ninayo iona pindi ninapojisaidia haja kubwa ya kuona kama mucus au kamasi zikitoka na haja. sasa basi wadau wakanishauri niende hospital kwanza,
Jana nlienda nkapma urine na stool lakini doctor kanambia hamna ugonjwa.

Eti yawezekana ni kwa sababu ya kula vyakula vya mafuta. lakini kiukweli mimi kama ni chips situmii, na mara nyingi nakua shule msosi ni maharage na dona,sasa aya mafuta yanatoka wapi? naomba msaada kama kuna njia mbadala

shukrani.
 
Back
Top Bottom