Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Umeandika matapishi matupu. Nashindwa kuelewa hao jamiiforums na moderator wake wameruhusu vipi upupu ulioandika. You just published some sort of shit.
 
Wewe chawa wa mtandaoni na polepole aliyewah kua boss wa chama ni nani anayekijua chama vizuri?
 
Usitufanye wajinga awamu ya 5 ilikuta nnch iko hovyo ya unanijuwa mm Nani,usimamizi mbovu jiwe akasawazisha na katika kusawazisha wezi na waliojilimbikizia Mali za wizi, wakwepa kodi na mafisadi wakapigwa na kitu kizito
Kwasababu hiyo ndiomana watanzania walikaa kimya coz katika yote yaliotokea watanzania walijua ni harakati za Mzee kurudisha nchi kwenye mstari
Tofauti na awamu hii yote yanayoendelea Kwa ajiri ya masrahi binafsi ya watu wachache kama ww na sio taifa
Mpaka makanisa yanafungwa wanakufa watu wanaosema ukweli uchawa umeshamili ili upone lazima uwe chawa tena futa Uzi wako huu hauna maana kibaraka ww
 
Kaa kimya wewe usiyejua kitu
 
Mimi niliyekulia ndani ya CCM na kupata malezi ya CCM
We ni mshabiki ,mshabiki hata team ikipuyanga yeye yupo tu ndio wanaitwaga die hard funs , kama muasis tu hio syndicate alisemaga hilo genge sio mama yake likiendelea kuzingua anaweza kuliachia manyoya halafu kuna ninyi sasa wasaka chochote kitu
 
Athari anayo ndo maana mabandiko yanayomhusu hayakauki kila saa hapa JF..
Kwahiyo nyie ndo mna akili za watanzania Mil. 60?
mambandiko hayo ni ya kujaribu kueleza wadau unafiki wake tu gentleman maana ni mwingi mno 🐒
 
Watoto wako wanasomea sebuleni kwako? Mkeo anajifungulia nyumbani kwako?
Watoto wangu wanasoma shule ambayo haina madawati wala walimu wa kutosha, wanakaa chini mpaka sasa miaka 63 ya uhuru, mke wangu alijifungulia hospitali ya serikali ambayo kila kitu mpaka panadol niligharamia mimi wakati tunaambiwa huduma kwa mama mjamzito na mtoto ni bure.
 
Nawaza juu ya kesho ya Taifa langu chini ya uongozi shupavu ,mahiri na madhubuti na siyo kuwaza habari za chai Utafikiri watoto waliodekezwa. Naona Tanzania iliyo bora sana mikononi Mwa Rais Samia.
Hatutaki kuongozwa na makahaba .. huyo Magu unayemponda siku ya maombolezo yake watu 45 walipoteza maisha wakimuomboleza pale uwanja wa taifa sijui unalijua hilo wewe mtoto wa KAHABA ?
 
Rubbish and Hogwash.
 
kwani aliyeandikiwa barua ni wewe? na wewe unajibu kama nani? chawa unaandika mkeeekaaaaaaaaaa yaani ni hiviiii mama yenu hauziki hata bure watu wamechoka.
 
This one suits you well, no more explanation!!
 
Haya mambo kumbe mnayaonaga ila mnakaza tu mafuvu yenu😂😂😂 ona sasa mnaanza kuuana wenywe kwa wenywe
 
Hakuna anyeumia hapa bali ukweli ndio unaoelezwa hapa kuhusu unafiki wake polepole
Hakuna ukweli uliosema. Utekaji upo haupo? Wanaotekwa kama serikali inachukua hatua gani kuwapata watekaji? Kwanini watu wanapotekwa na kueleza kwamba jeshi la policcm ndio watekaji hakufanywi uchunguzi ili kuwabaini wahusika? Tetea dhulma ila ipo siku mtailipa najua utasema haitawezekana kwasababu akili zenu mmezielekeza kwamba mnajeshi kubwa Hakuna baya litakalowafika ila mtakuwa njee kwa njia nyepesi sana.
 
Sasa hivi kuna chuki kubwa kupita maelezo. Ila hii takataka uliyoiandika haina utafiti mtaani. Ila unatetea ugali.

Mnavumja makanisa mnapanda na kuupalilia uislam waziwazi ( rejea uchaguzi Jimbo la Mwanga).
 
Acha kuandika makala ndefu, unazua TAHARUKI. Nchi ina msiba wa Kifo cha Mke wa Mjomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…