Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Ana tatizo la kukosa upendo wa Mama yake utotoni huyo. Na ndio maana anaona Raisi Samia kama Mama yake mzazi na Raisi wa peke yake.
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Ndiye Mama wa watanzania wote. Ni Mama wa kila mtu. Ni nuru na Mwanga wa watanzania
 
Polepole anaposema anaona ukiukwaji wa haki ndani ya CCM kipindi hiki cha uchaguzi na uteuzi ndani ya CCM namuona ni mnafiki mkubwa sana kama ilivyo kawaida yake. kwa sababu Mchakato wa sasa ndani ya CCM ni wa haki kabisa ambapo kila mtu alipata nafasi ya kuchukua Fomu kujaza na kurejesha .kisha vikao vya wilaya na mkoa kufanya mapendekezo yake ya wagombea watatu .
Wewe ambaye ni malaya wa kisaisa kupe na chawa unaweza kutuletea hapa majina ya watu watatu waliochukua fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? unaweza kutuonesha sehemu ya katiba ya Chama Cha Mapinduzi inayobainisha kwamba Mgombea wa nafasi ya Urais atajipitisha mapema sana mwanzo mwa waka wa uchaguzi pamoja na mgombea mwenza anayemtaka yeye na Mkutano mkuu utakua na kazi ya kubariki huo ujinga? Au tuambie Huo mshangazi amabo ni incompetetmt unapata wapi mora authority ya kuwapangia watanzania nani awe mwakilishi wao pale anapomnanga hadharani Bwana Mpina na Bwana Gwjima kisa tu wanahoji for thr interest of the public? acha umalaya wa kisasa dogo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mara Baada ya Kuingia Madarakani Rais wetu Mpendwa aliikuta Nchi ikiwa na mgawanyiko mkubwa sana na kukiwa hakuna Umoja wa kitaifa kutokana na chuki za kisiasa kumomonyoa umoja wetu. Ilifikia wakati huku mitaani watu walizikwa kwa kufuata itikadi za kisiasa . Yaani kama wewe ni wa CCM basi utazikwa na wana CCM wenzako na kama wewe ni CHADEMA basi utazikwa na wana CHADEMA wenzako.

Lilikuwa ni Taifa lililogawanyika vipande vipande na kujifunga huku wengine walifikia hadi hatua ya kuikimbia Nchi ili kuokoa na kunusuru Maisha yao. Mifano ya watu hao ni Tundu Lissu pamoja na Godbless Lema. Ambapo mtu kama lissu yeye alikuwa ametendewa miujiza na Mungu wake baada ya kumiminiwa Risasi za mvua utafikiri anapigwa mnyama au Gaidi la Dunia lililokuwa likisakwa na CIA au FBI ya Marekani kwenye makazi yake pasipo wahusika kupatikana wala kujulikana.

Hii ndio sababu Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia alipoingia Madarakani na kushika Usukani alikuja na Falsafa ya 4R . Ikiwa na lengo la kujenga maridhiano ya kitaifa ,ustahimilivu ,kujenga upya Taifa letu pamoja na kufanya mabadiliko mbalimbali. Alikuja na Falsafa hizo kwa lengo la kutaka watanzania tusameheane kama Taifa kwa makovu na madhira tuliyofanyiana .alijua kuna watu wana makovu na majeraha mioyoni mwao na hivyo hawezi kuongoza Taifa lililogawanyika na kupasuka vipande vipande.

Alijua ya kuwa A family Divided against itself cannot stand. Yaani Familia iliyogawanyika haiwezi kusimama.alijua Tanzania kama Taifa ilikuwa imegawanyika na hivyo ilikuwa ni ngumu kuiongoza kwa mafanikio. Alijua kuna wafanyabiashara walikuwa wameporwa pesa zao kiuonevu ,kubambikiwa kodi za uonevu,kufilisiwa mali zao na kunyanyaswa sana mpaka kukata Tamaa ya biashara.hii ndio maana ya kauli yake ya kusema kuwa hataki kodi za Dhuluma.

Alijua kuna wanasiasa na vyama vya siasa hususani vya upinzani vilikuwa vimeonewa ,kuumizwa ,kunyanyaswa ,kuteswa kiasi cha kutosha. Alijua hata ndani ya CCM yenyewe kuna watu walikuwa hawajatendewa haki katika mchakato wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani uchaguzi wa 2020. Ndio maana alikaa na viongozi wa vyama vyote kutafuta suluhu na muafaka. hali iliyopelekea kufunguliwa kwa mikutano ya hadhara mpaka leo hii, CHADEMA kulipwa ruzuku yake ya mkupuo kiasi cha Billion 2.7 pamoja na kuendelea kuipatia ruzuku yake ya kila mwezi ya kiasi cha Millioni 107.kesi zenye sura ya kisiasa kufutwa na mengine mengi sana.ambayo yaliondoa uhasama wa kisiasa.

Polepole anaposema anaona ukiukwaji wa haki ndani ya CCM kipindi hiki cha uchaguzi na uteuzi ndani ya CCM namuona ni mnafiki mkubwa sana kama ilivyo kawaida yake. kwa sababu Mchakato wa sasa ndani ya CCM ni wa haki kabisa ambapo kila mtu alipata nafasi ya kuchukua Fomu kujaza na kurejesha .kisha vikao vya wilaya na mkoa kufanya mapendekezo yake ya wagombea watatu . Ambapo hata hivyo huo siyo uamuzi wa mwisho kwani kuna vikao vya sekretarieti ambavyo navyo vinafanya uchambuzi wake kwa kurejea majina ya watu wote waliochukua Fomu ,kupendekezwa ngazi za wilaya na Mkoa pamoja na kuangalia haki ilivyotendeka ambapo wao wana maamuzi hata ya kupendekeza jina au majina ya mtu au watu ambao walikuwa wamekatwa awali. Na hapo pia kuna vikao vya kamati kuu navyo pia vitafanya mapitio yake kwa jicho la haki kabisa.

Wakati mchakato huu wa haki ukifanyika hali ilikuwa ni tofauti kabisa wakati wa polepole.kwani wakati wake tulishuhudia watu wengi wakinyongwa na kunyamazishwa kwa kalamu.ambapo kuna watu walipata kura zaidi ya mia tatu lakini walikatwa .hapa unaweza kurejea kule mkoani Shinyanga Mjini. Kuna watu walipata kura nyingi sana na ni waadilifu lakini walikatwa bila sababu za msingi na kuchukuliwa watu wengine kabisa. Hata mwenezi wetu wa sasa ni miongoni kwa watu waliokatwa bila sababu za msingi.

Embu turejee pia kwa wale wabunge waliokuwa wanasema wanaunga Juhudi mkono. Je haki ilitendeka katika uteuzi wao wa kugombea? Mchakato ulifuatwa? Taratibu ,kanuni ,miongozo na taratibu za chama zilifuatwa? Au polepole amekuwa ni kipofu wa akili na macho na kuanza kupoteza kumbukumbu mapema kiasi hicho? Nani amesahau kejeli za polepole akiwa mkoani mbeya akiongea kwa maringo,dharau ,kejeli na kiburi cha hali ya juu sana bila heshima wala adabu kudhalilisha watu? Nani amemsahau polepole wa awamu ya tano alivyokuwa jeuri ,kiburi na mwenye majigambo na dharau kwa watu?

Anaposema uongozi huu haujikiti na kujielekeza katika utatuzi wa kero za wananchi anakuwa anamaanisha nini? Hivi amechanganyikiwa ? Sikilizeni watanzania wenzangu ni hivi ni Rais Samia ndiye aliyeongeza bajeti ya kilimo secta Mama inayogusa Maisha ya watanzania wengi sana kwa kutenga bejeti ya Trilioni 1.2 kutoka Billioni 294. Hii ikiwa na lengo la kuinua maisha ya watu na kuwaondoa kwenye Lindi la umaskini.ikumbukwe ya kuwa ukikuza kilimo kwa 10% unakuwa umeondoa na kupunguza umaskini kwa zaidi ya 50%. Ni Rais Samia ameongeza bajeti ya afya kufikia Trilioni 1 na point. Rais Samia ameongeza bajeti ya miradi ya maendeleo kufikia Trilioni 15 kutoka Trilioni 12 hali iliyopelekea kujengwa kwa miradi mingi sana hapa Nchini kuanzia Elimu ,afya ,maji n.k.

Rais Samia Amekamilisha Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa 100% bwawa hilo alikuta likiwa 34% pekee. Amejenga reli ya SGR na kuzindua treni inayoteleza mpaka mkoani Dodoma kutoka Dar. Kwa kufanya hayo hapo juu ndio maana leo vituo vya afya vinapatikana kila kona ya nchi yetu na kufanya wananchi kupata huduma za afya kwa ukaribu zaidi usiozidi kM 5 kutoka kwenye makazi yao. Kwa sasa wanafunzi wote wanaofaulu wanakwenda na kuripoti shuleni kwa wakati mmoja tofauti na awali wakati wa polepole ambapo wengine licha ya kufaulu walikosa nafasi ya kwenda mwezi januari kutokana na uhaba wa madarasa hali iliyopelekea wengine kuishia kuolewa tu na kupoteza ndoto zao za kusoma.

Rais Samia ameongeza mapato ya korosho mara Nne zaidi kufikia Trilioni 1.6 kutoka Billioni 452 za awali ambapo soko la korosho lilikuwa limevurugwa kabisa na kuwacha wananchi na umaskini pamoja na kukata Tamaa kabisa. Hapa polepole hakusikika akiinua mdomo wake wala kujiuzuru wala kusema lolote lile. Rais Samia amepandisha misharaha ya watumishi wa umma kufikia laki tano kwa kima cha chini ,kuwalipa malimbikizo ya madeni yao ,kuwapandisha madaraja. Wakati awali ilikuwa ni kama hisani au huruma fulani vile jambo ambalo liliwakatisha sana tamaa watumishi wa umma. Maana waliona Utumishi wa umma ni kama jera au gereza. Lakini kwa sasa wanaona fahari kuwa Sehemu ya ujenzi wa Taifa lao wakati awali walisikia tu na kuambiwa uchumi unakua bila kuona mabadiliko na matokeo chanya kwenye Maisha yao kama vile mishahara yao ,madaraja yao ,makazi yao na hata posho zao.

Je polepole hajui kazi hii kubwa iliyofanywa na Rais Samia? Je ni kipofu wa akili na macho? Jibu ni hapana. Anajua mazuri haya ya Rais Samia ila anasumbuliwa na Chuki binafsi ,ukabila na ukanda. Hivi Ndivyo vinavyomsumbua huyu mtu. Lakini pia huyu mtu inaonyesha kuna watu wanamtumia na kumdanganya sana naye kujiona ni mtu mbele za watu na ana ushawishi mkubwa sana kwa Nchi hii wa kuweza kuitikisa CCM na serikali yake.

Ningependa kumwambia kuwa hana ushawishi huo hata kidogo katika chama na hata serikali. Embu nimkumbushe kidogo. Kulikuwa na mtu anaitwa Edward Ngoyai Lowassa.huyu Alikuwa mwana CCM hadi Damu yake tu ilikuwa ni ya CCM. Alikulia ndani ya CCM maisha yake yote. Hakuna alichokijua zaidi ya CCM. Alikuwa anaungwa mkono sana na alikuwa na ushawishi mkubwa sana ndani na nje ya CCM. Alikuwa na watu kama Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ambaye alikuwa upande wake na ambaye kwa sasa ni katibu Mkuu wetu wa chama na mgombea mwenza wa Rais wetu Mpendwa.

Kulikuwa na watu kama akina Mheshimiwa Husseni Bashe, Mheshimiwa Joseph Kasheku msukuma , Mheshimiwa Sofia Simba na wenyeviti mbalimbali wa mikoa kwa wilaya. Alikuwa na ushawishi hadi kwenye vyombo vya Dola. Lakini hata alipohama chama 2015 Kabla ya kurejea tena bado CCM iliendelea kuwa imara yenye umoja na mshikamano na kwa pamoja tulisonga mbele. Embu fikiria mtu Jabali huyu alihama na kwenda chadema huku akiungwa mkono hadi na wenyeviti wa CCM mikoa ,mkurugenzi mstaafu wa idara ya usalama wa Taifa marehemu Apson Mwang'onda ,Kingunge Ngombare Mwiru na wengine wengi sana.

Sasa kama huyu alihama na CCM tukaendelea kwa nguvu zaidi sembuse huyu polepole? Hivi polepole naye anajiona kama nani ndani ya CCM? Hivi naye anajiona ameshakuwa kigogo? Yaani polepole ambaye ameanza kujifunza kuvaa sare za CCM alipopewa uenezi leo hii ndio wakujiona naye ni kigogo mpaka alete Dharau? Ana uzalendo gani polepole pale alipo? Ana uchungu gani alipo pale? Hivi hata akisimama kwenye kioo akajiangalia matendo ,kauli na matamshi yake ya wakati wa awamu ya tano hivi anaweza kuendelea kukaa mbele ya kioo cha haki na uzalendo kweli?

Hivi huyu polepole ana mishipa ya aibu kweli? Wakati wake vyombo vya habari vilikabwa koo utafikiri Kibaka na mwizi wa kuku, leseni zilinyang'anywa,watu hawakuwa na uhuru wa kuzungumza wala kuikosoa serikali kama ilivyo sasa ,watu walikuwa wakiongelea chooni tu napo kwa kuangalia kama hakuna mtu nje. Hivi polepole anataka kusema kulikuwa na Utawala bora wenye kuzingatia utawala wa kisheria ,kuheshimu haki za binadamu na misingi ya haki wakati wake? Je vyama vya siasa kupigwa marufuku kufanya mikutano ya hadhara ilisimamishwa kwa sheria ipi ya Nchi? Kwa kifungu kipi cha katiba yetu?

Hapa nimeandika kwa ufupi sana na nitakuja kuendelea kujibu barua yake muda siyo mrefu kwenye andiko lingine.

Kaeni mkao wa kula. Hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe jingine.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Hongera upewe maua yako mkuu
 
Hizi takataka ulizoandika sio Majibu ya hoja alizobaniisha Polepole, wewe una compare and contrast awamu ya tano Kati ya Magufuli na Samia. Awamu ya Sita bado kwa mujibu wa Katiba
huo uwezo wa kufanya critical analysis ya hoja za pole pole aupate wapi mtu mpumbavu kama huyu muimba ngonjera, huyu hafai hata kubeba mikoba ya mtendaji wa kata ndio mana kutwa kucha miaka nedna nyuma hawawezi kumuona. kuna yule rafiki yako anakusifia mpaka unasema huyu ataniabisha
 
Ungempotezea tu

Polepole ni manic na alipoona relevance inashuka akafhanganyikiwa

Alishiriki dhuluma nyingi sana na inawezekana yanayoendelea ni malipizi tu
 
Back
Top Bottom