Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Hizi aya mbili zinajipinga!
 
Umasikini wako utaondolewa kwa juhudi za mikono yako kwa kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa na kujitoa. Siyo kwa kupiga umbeya kwenye vibaraza vya majirani. Kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kama afanyavyo Rais Samia.
Rasilimali za hili taifa ni za Watanganyika wote, sio za mama yako na machawa wake kwamba mtauza tu mnavyojiskia kwa maslahi yenu. Tunahitaji Tanganyika yetu huru ambayo Rasilimali zake zitawanufaisha watanganyika wote kwa usawa na sio kuwafaifisha nyie wachache. Af mkipingwa na kuambiwa ukweli mnaanza kuharisha harisha hovyo.
Ndo maana mpaka leo hamjawahi kujibu hoja hata moja ya Gwajima, nadhani Tannzania ndo nchi pekee duniani watu wanasali wakiwa wamezungukwa na askari wenye mabomu, virungu na mabunduki. Tuna tofauti gani na wakongo sasa.
 
Wanaosema CCM ni ukoo wa Panya hawakudanya. Huwa wanakulana wenyewe kwa wenyewe, si watu wa maana ni waongo na wazandikina. Huu Mwanamke alikuwa Makamu wa Rais, Lucasi sijui alikua katibu wa Kata wa CCM huko Chunya. Sasa hawa wote ni CCM. Strategy ya kwanza ku-win Watanzania ilikua ni kumkandia JPM Ambaye wote hao walikuwa Pamoja mmeona. Sasa hapa huyu kibaraka nakuja na strategy hiyo hiyo ya kumkandia JPM, yaani hawana hata moja la maana, Sasa kama huyo JPM alikuwa mbaya kiasi hicho, hicho chama si ndiyo kilipitisha hayo yote. Ulisikia lini Rais wa Republican anamkandia Raisi wa Republican aliyepita? Au Democrat? Hapo ndiyo utajua CCM akili mbovu. Utasema Trump - Trump ni special case. Sasa CCM ya Huyu Mwanamke -Lucas mmwfanya nini?
1. Siasa ni zile zile hakuna uhuru wa Habari
2. Utekaji uleule na umezidi na mauaji halafu brutal, hatukuona damu kwa JPM tumeona kwa macho kwa huyu Mwanamke.
3. Ikulu ileile aliyojenga JPM mnajivunia
4. Bwawa lile lile la Umeme la JPM mnajivunia
5. SGR ile ile ya JPM mnajivunia
6. Busisi Bridge ile ile ndiyo majivunia
Hebu niambiani wapi mradi wenu Wewe Mwnamke na Lucas mmebuni? Kuuza Bandari, Kuuza ardhi ya masai, kuuza misitu kwa waarabu!!! Kipi mlichofanya kujivunia? GDP- inatokana na thamani ya infrastructure kama Bawa, Busisi, SGR, Ujenzi wa Bandari- yote hayo JPM. Sasa nynyi vibwengo mmefanya nini?

Kwa macho hata fraud kwa Magufuli husemwa midomoni kutoka midomo ya akina Zito na huyo Mwanamke, lakini sasa hivi kuna kila kitu kufanya proof, kama kula kwa urefu wa Kamba yako. na mengi

JPM alinunua ndege zote hizo ambazo anazipanda huyu Mwnamke hadi shirika linapata Hasara. Mara ulaya, China, marekani- na halipi, shirika ni Hasara tupu. Akina Abdul wamekua Dollar Billionea, akina JK nk nk.

Huo upumbavu achene, Polepole mtafutieni strategy mpya kumpakaza, halafu yule siyo levo ya kwako Lucas, hata yule mwanamke hana levo ya Polepole.

Nikupe siri moja kubwa. Polepole na Bashiru wanamdharau sana huyu mwanamke ndiyo maana hata kumwona hawampendi, sasa kwyenye hint hii anza strategy nyingine. Na Lissu akiachiwa tarehe 30 Juli, utashangaa moto utaowaka- yaani Lissu-Heche-Bashiru-Mbowe-Polepole- nk nk nk etc etc, je Mchengrwa ataweza? Waarabu watatoa pesa hadi waishiwe.
 
Rasilimali za Taifa letu zinatumika vizuri sana katika ustawi wa watanzania wote. Ndio maana ya kuona vituo vya afya au huduma za afya ,elimu ,maji ,umeme , miundombinu ya barabara ikiimarika na kuboreshwa kila uchao.
 
Lucas Mwashambwa sijui umri wako ila sisi tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tuna jambo Moja la kukufunza.
Kila awamu na kila rais ajaye hukuta nchi imeongeza idadi ya watu na mapato ya serikali.
Huwezi kutegemea bajeti ya Mwalimu ijenge bwawa la JNHP ili Kwa mahitaji alijenga mabwawa ya Kidatu Hale, Pangani na mengineyo Kwa uwezo uliopo wa kibajeti bila kuiingiza nchi kwenye madeni ya kutisha.
Kila awamu iliboresha iliyopita Kwa hiyo haya ya Samia sio ajabu au miujiza ya Mwamposya.
Msalimu Kenge wa mama wa Zanzibar viti maalum
 
Kama mtu na akili zako timamu unaweza kukaa na kumuamini polepole basi inabidi ukapimwe akili yako.
 
Mambo aliyoyafanya Rais Samia ni kama miujiza maana siyo kazi nyepesi kukamilika . Angekuwa mwingine angefanikiwa baada ya miaka labda 50 huko.
 
Hivi wa kupuuzwa ni wewe au polepole
 
Hizi ni pumba,

Kataa wahuni. Kataa wapuuzi wajinga na wauaji, kataa na cchoma moto machawa yote
 


Mtu ambae ajawai hata kupewa kazi ya kuosha gari ya serikali

Anamjibu mwakilishi wa Rais nje ya inchi

Unaelewa maana ya kuwa balozi? Unaelewa mchakato wake mpaka mtu anakuwa balozi?

Vetting yake unajua inakuwaje?

Huna level za kumjibu pole pole,

Anakuzidi kila kitu

Mambo mengine sio mpaka ujibu, wenyewe si umewaona wapo kimya?

Unajua kwanini?

Tusubiri tarehe 17
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…