Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Ataishia kupiga kelele humuhumu JF?
 
Huu mwaka, ni mwisho wa Machawa, hautapost Tena JF kububujikwa na Machozi ya Mama.
 
Mbona una hoja nyepesi sana aisee
Sasa wewe kwa andiko lako hili ndio umejibu hoja za Polepole?

Alafu mbona wewe ndio umepaniki kuliko hata yule alyeandikiwa barua ya kujihuzuru?

Muda mwingine hakuna sababu ya kutumia mihemuko, jaziba, nguvu nyingi kujibu hoja ambazo hazikuhusu.

Nahisi kuna kitu akilini mwako hakipo sawa, unatetea na kujikakamua kama vile Raisi Samia ni Raisi wa pekee yako. Yule ni Raisi wa Watanzania wote bila kujali anakosolewa, anasifiwa, anasifiwa au anasemwa vibaya.

Lucas Mwashambwa, una tatizo la kisaikolojia ambalo linakutesa sana, malezi yako ya utotoni ulikosa upendo wa Mama au Baba yako na ndiyo maana humu Jamiiforums unajifanya na ung'ang'ania Raisi Samia ni Mama yako na Raisi wa peke yako.

Elewa : itikadi za vyama vya siasa iwe CUF, CHADEMA au ACT WAZALENDO haundoi uhalali wa Raisi Samia kuwa Raisi wa Watanzania wote. Raisi Samia ni wa wote sio wa kwako peke yako.

Hoja zako ni nyepesi sana na hazina ufanano wa kujibu hoja za Polepole.
 
Ungejibu hoja badala ya kuanza kuimba taarabu.
 
Polepole hana hadhi ya aina yoyote ile
 
Huo umoja WA Kitaifa upo wapi?
 
Sijlisoma gazeti lako, ila nina maswali mawili.
Wewe ni Mkristo, unajua Sauli aliokoka na kuwa Paulo!!??
Kushukiwa na neema ya kuokoka baada ya kuwa maovuni ni dhambi au ni jambo jema!!??
 
Sijlisoma gazeti lako, ila nina maswali mawili.
Wewe ni Mkristo, unajua Sauli aliokoka na kuwa Paulo!!??
Kushukiwa na neema ya kuokoka baada ya kuwa maovuni ni dhambi au ni jambo jema!!??
Hivi una akili Timamu kweli? Unajitambua kweli? Hujasoma andiko halafu unasema una taka ujibiwe maswala. Embu wahi haraka hospitalini
 
Ndio maana linabubujikwa na machozi,Dume Zima!
 
Likummer kwenye ubora wako kutapika ugoro wa bibi
 
Wewe unachoweza toa ni matako mazito tu
 
Zilaaniwe Shahawa chafu za baba yako zilizokuzaa ***** Lucas Mwashambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…