Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Ana tatizo la kukosa upendo wa Mama yake utotoni huyo. Na ndio maana anaona Raisi Samia kama Mama yake mzazi na Raisi wa peke yake.
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Ndiye Mama wa watanzania wote. Ni Mama wa kila mtu. Ni nuru na Mwanga wa watanzania
 
Wewe ambaye ni malaya wa kisaisa kupe na chawa unaweza kutuletea hapa majina ya watu watatu waliochukua fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? unaweza kutuonesha sehemu ya katiba ya Chama Cha Mapinduzi inayobainisha kwamba Mgombea wa nafasi ya Urais atajipitisha mapema sana mwanzo mwa waka wa uchaguzi pamoja na mgombea mwenza anayemtaka yeye na Mkutano mkuu utakua na kazi ya kubariki huo ujinga? Au tuambie Huo mshangazi amabo ni incompetetmt unapata wapi mora authority ya kuwapangia watanzania nani awe mwakilishi wao pale anapomnanga hadharani Bwana Mpina na Bwana Gwjima kisa tu wanahoji for thr interest of the public? acha umalaya wa kisasa dogo
 
Hongera upewe maua yako mkuu
 
Hizi takataka ulizoandika sio Majibu ya hoja alizobaniisha Polepole, wewe una compare and contrast awamu ya tano Kati ya Magufuli na Samia. Awamu ya Sita bado kwa mujibu wa Katiba
huo uwezo wa kufanya critical analysis ya hoja za pole pole aupate wapi mtu mpumbavu kama huyu muimba ngonjera, huyu hafai hata kubeba mikoba ya mtendaji wa kata ndio mana kutwa kucha miaka nedna nyuma hawawezi kumuona. kuna yule rafiki yako anakusifia mpaka unasema huyu ataniabisha
 
Ungempotezea tu

Polepole ni manic na alipoona relevance inashuka akafhanganyikiwa

Alishiriki dhuluma nyingi sana na inawezekana yanayoendelea ni malipizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…