Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Luka sijaona mawe, mpaka nione mawe yakibiringika. Ndiyo nimeamka sasa hivi hata kokoto tu sijaliona likidunda dunda
 
mtu mnafiki kama polepole hua hawez kujirekebisha gentleman.

kwa faida ya wadau wa jf na wanasiasa kwa ujumla, nashauri muungwana apuuzwee ili kuepuka kupotezewa muda tena na Lakini pia kuepuka utapeli wake wakati mwingine 🐒
Ok nakubaliana na wewe kumpuuza yeye,
Ila je hoja yake nayo niipuuze?

Au kwa pamoja kama taifa kupitia wawakilishi wetu au mijadala yetu popote tukubaliane kuwa matukio ni matukio tu, kila mtu afanye tukio lake! Huoni polisi nao watachoka?!

Ikiwa wao ndio walinzi wa usalama wa watu na Mali zao? Je huoni huo mwenendo hawawezi kuumudu kwa posho na viapo tu?!

Ni muhimu sana na lazima sana kama taifa tutafute mwafaka.

Issue siyo Urais au nani Rais, issue ni uwajibikaji, uchukuaji wa tahadhari, kwa usalama wa watu na Mali zao.

Issue ni namna gani una-handle life threating reports. Au tuyapuuze na matukio yenyewe yanayotishia ustawi wa usalama wa watu?

Hawapo waliopotezwa?, hawapo waliotolea taarifa kuhusu kutishiwa maisha? Na bado wakapotezwa.

Je, Gwajima amejibiwa hoja zake kitaifa bila kujali msikilizaji ni Gwajima, maana wasikilizaji ni wengi! Maana hoja zake zilifikia Leo ya kujibiwa na mamlaka kwa taifa, hoja Moja na jibu lake, tamko kwa tamko la Ile press. Siyo kufumbia macho na kunyamazisha.

Nendeni na njia zenu, tufike kibabe.
 
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja. Hii hoja ipo nje ya uwezo wako. Nenda kasome katiba ya chama upate kufahamu nguvu na mamlaka iliyonayo mkutano mkuu wa CCM Taifa.acha kukurupuka kama kuku.
 
Ungempotezea tu

Polepole ni manic na alipoona relevance inashuka akafhanganyikiwa

Alishiriki dhuluma nyingi sana na inawezekana yanayoendelea ni malipizi tu
Mikono yako inanuka damu na atahangaika sana mpk atubu na toba yake ikubaliwe. Kwanza CCM anaijulia wapi huyo fukara aliyeokotwa na Magu pasipojulikana. Hajitambui kuwa ni sisimizi tu mbele ya tembo. Hv ni kabila gani mtu mpumbavu namna ile?
 
Ndugu yangu narudia tena wewe ulisha LAANIWA na unavyoendelea unapasisha laana hio kwa kizazi chako trust me.
 
Mwashamba
Fika mahali jisikie aibu.
 
Naona umepaniki na kubakia ukirjiropokea tu
 
Unamaliza miti.

Tafuta kazi ya kukuweka busy unajichelewesha mwenyewe.
Hakuna kazi iliyotukuka inayozidi hii ya kuelimisha jamii. Hata hivyo humjui unakuta ndio kazi yake na analipwa mamilioni kwa mwezi, we kacheze mechi zako.
 
naheshimu maoni yake na maoni ya waTanzania wengine kuhusu mambo mballimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini.

but unafiki ni kitu nonsense sana 🐒
 
Unajibu kama na nani? Na umetumwa na nani?

Barua aandikiwe rais , ajibu kikaragosi

Kaka tafuta kazi ya kufanya, uchawa haulipi
 
naheshimu maoni yake na maoni ya waTanzania wengine kuhusu mambo mballimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini.

but unafiki ni kitu nonsense sana 🐒
Unafiki huondoshwa, hata Mungu anao waliowahi kukosea, akawasamehe! Otherwise wewe una msimamo mzuri, unafanana na ujasiri wa HPolePole.
Wewe unapinga unafiki kwa msimamo thabiti.
Na yeye kathubutu kitaifa kabisa!
 
Polepole anaongea na mwenye mbwa sio mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…