Majibu kwa Barua ya kujiuzulu ya Humphrey Polepole

Rasilimali za Taifa letu zinatumika vizuri sana katika ustawi wa watanzania wote. Ndio maana ya kuona vituo vya afya au huduma za afya ,elimu ,maji ,umeme , miundombinu ya barabara ikiimarika na kuboreshwa kila uchao.
Unachojuaga kuongea ni pumba tu, hizo namba za kwenye makaratasi sisi hatuoni uhalisia wake huku Kilimarondo Lindi. Hakuna umeme, hakuna maji, maisha magumu watu tumechakaa. Hizo hospitali na shule kila kona za Tanzania unazosemea wewe ni zipi ambazo unaziona wewe tu wengine hawazioni?
 
Watoto wako wanasomea sebuleni kwako? Mkeo anajifungulia nyumbani kwako?
 
Hivi una akili Timamu kweli? Unajitambua kweli? Hujasoma andiko halafu unasema una taka ujibiwe maswala. Embu wahi haraka hospitalini
Wewe ni Mkristo, unajua Sauli aliokoka na kuwa Paulo!!??
Kushukiwa na neema ya kuokoka baada ya kuwa maovuni ni dhambi au ni jambo jema!!??
 
Wewe ni Mkristo, unajua Sauli aliokoka na kuwa Paulo!!??
Kushukiwa na neema ya kuokoka baada ya kuwa maovuni ni dhambi au ni jambo jema!!??
Ni mwendawazimu na kichaa pekee anayeweza kumsikiliza na kumuunga mkono mnafiki aina ya polepole.
 
ninyi machawa wa samia ambao huwa hamtumii ubongo kufikiri, hivi utawala ukibadilika akaja rais mwenye nia ya kuwashughulikia, mtakuwa wageni wa nani? watu wanapoongea jambo la haki ninyi mnakwamisha makusudi ili kumfurahisha mwanadamu, wala si mungu, ambaye hana uwezo kuwalinda milele. takeni haki badala ya mambo ya kijinga mnayoyafanya. kuna siku wananchi wataamua kwamba ninyi ndio maadui wa taifa hili na mtatafutwa mmoja baada ya mwingine, mnataka watu wafikie hatua hiyo? mnafikiri hawawajui? hawajui mnapoishi? hawajui watoto wenu? kwa nini mnapenda sana kuchezea akili za watanzania?
 
polepole ni raia mbinafsi mnafiki asie na shukrana lakini pia ni mbadhirifu mtakatifu wa mali za umma.

ni vizuri akapuzwa tu kwasababu hana athari zozote kisiasa, kijamii na kiuchumi kiuchumi kwa taifa letu.
Athari anayo ndo maana mabandiko yanayomhusu hayakauki kila saa hapa JF..
Kwahiyo nyie ndo mna akili za watanzania Mil. 60?
 
Ni mwendawazimu na kichaa pekee anayeweza kumsikiliza na kumuunga mkono mnafiki aina ya polepole.
Narudi kukuuliza tena.
Wewe kwa kuwa ni Mkristo, unajua Sauli aliokoka na kuwa Paulo!!??
Kushukiwa na neema ya kuokoka baada ya kuwa maovuni ni dhambi au ni jambo jema!!??
 
Narudi kukuuliza tena.
Wewe kwa kuwa ni Mkristo, unajua Sauli aliokoka na kuwa Paulo!!??
Kushukiwa na neema ya kuokoka baada ya kuwa maovuni ni dhambi au ni jambo jema!!??
Jibu swali langu. Je polepole amekiri madhambi yake ? Ameyataja hayo madhambi?
 
Asubuhi umeamka na polepole kuwa na akiba ya maneno ni vizuri uka kaa kimya huyo unayemuona mnafiki mpo naye chama kimoja , kukaka kimya ni busara nani anayejuwa kesho yake kama kila qnayepingana na raisi utakuwa unamshambulia kwa maneno jiulize utakuwa na maadui wangapi ndani ya chama na je unajuwa wewe utakuwa nani au wao katika maisha ya kisiasa?
 
Hapo ulipo huna hata kiwanja unakaza fuvu, mama anatosha. 😀 hata mtume Paul alitesa sana wanafunz wa yes lakin alitubia na akawa mfano wa kuigwa. Pole pole alifanya kosa na sasa hataki hayo mambo kwann machawa mnakua hvyo unahic utapata uteuzi kirahic hvyo 😀
 
Nawaza juu ya kesho ya Taifa langu chini ya uongozi shupavu ,mahiri na madhubuti na siyo kuwaza habari za chai Utafikiri watoto waliodekezwa. Naona Tanzania iliyo bora sana mikononi Mwa Rais Samia.
Ufupisho wa mnakasha wako ni huu.
-Polepole alikuwa sehemu ya uongozi wa Magufuli.
  • Uongozi wa Magufuli ulilalamikiwa kwa matukio ya utekaji, upoteaji na vitisho kwa raia waliotofautiana na uongozi. Uongozi wa Samia na unaolalamikiwa pia
  • Uongozi wa Magufuli uliminya haki za wapinzani wote, uongozi wa Samia umeonya haki za wapinzani wenye nguvu tu ambao ni CHADEMA
  • Uongozi wa Magufuli ulibambika kesi kwa wapinzani vivyo hivyo wa Samia.
  • Kupelekea uchaguzi mkuu 2020, CCM ilichapisha form moja tu ya mgombea wa urais vivyo hivyo kipindi hiki cha Samia CCM inafanya hivyo.
KAMA POLEPOLE HAKUONA TATIZO KIPINDI HICHO, KWANINI AONE TATIZO SASA HIVI?.
 
uongozi wa magufuli haujawahi kufuta kanisa hata moja wala msikiti hata mmoja. ila samia kafuta kanisa tu.
 
Kazi yangu ni kuwafungueni akili zenu.
Unawafungua akili au unalisha watu "Sophistry".?
Hizo akili mngekuwa nazo si mngeshapata dawa ya deni kutoka 60 hata liwe 30 nusu yake badala la kuliongeza kuwa 100.. Msingekuwa wavivu wa kufikiri wa kujisifu Ujenzi kwa mikopo..
 
uongozi wa magufuli haujawahi kufuta kanisa hata moja wala msikiti hata mmoja. ila samia kafuta kanisa tu.
Sijali taja kanisa pia japo uliwatishia viongozi wa dini kama akina Bagonza na wenzie, aliwahi kutishia kutoza kodi kwenye sadaka na michango mingine ya kanisani. Msajiri wa asasi za kiraia akitumika sana enzi hizo.
 
Kwani aliomba kazi kwako? Kichaa chako kimezidi kichwa chako, hahitaji majibu, amekwisha malizana na mwajiri wake.
 
polepole ni raia mbinafsi mnafiki asie na shukrana lakini pia ni mbadhirifu mtakatifu wa mali za umma.

ni vizuri akapuzwa tu kwasababu hana athari zozote kisiasa, kijamii na kiuchumi kiuchumi kwa taifa letu.
Nyie wawili ni mtu mmoja mwenye Avatar mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…