Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Hongera sana Mh Mnyika kazi zako ni nzuri bungeni hata kama huna digrii.hoja unazotoa bungeni ni nzito sana.wako viongozi wengi duniani hawana digrii lakini wanafanya vizuri kama Rais wa South Africa Jacob Zuma,Morgan Changalai n.k
 
Ameonesha uungwana, lakini makosa- tena makubwa - yalishafanyika. Kikwete ni rais wa nne (4) wa hii nchi na marais wote watatu waliomtangulia nao walikuwa na watoto.

Tofauti na huko nyuma, kwa mara ya kwanza tunaona mtoto wa rais anaanza kufanya siasa za mashambulizi (personal attacks) kwa mbunge- tena wa kuchaguliwa! Hii si sahihi na ni blunder ya washauri wanaomzunguka huyu mtoto wa rais baada ya judgement yake kukosekana. Kila nafasi ina gharama zake, na ukiwa kama mwanafamilia au mtoto wa rais kuna gharama zake. Kujiingiza kwenye malumbano ya kijinga namna hii kuzua wasiwasi wa uongozi mzima wa wale walio kwenye hiyo taasis (urais). Ningeshauri awe mwangalifu na hizi siasa za maji taka.
 
Na wewe bwana riz tuwekee Cv yako tuione ili tupunguze kukudharau
unachukiwa sana dogo kwa sababu unatumia mgongo wa baba yako aliyeshindwa kutumia akili kuongoza nchi,tuwekee taarifa zako ili tuzijadili
 
Huu ni upuuzi kw mtoto wa Rais kushughulika na mambo ya kijinga kama haya.
 
Ridhiwani na Nape tafuteni saizi yenu Makamanda wa Chadema wapo vzr.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kama ni kujaaliwa busara na hekina ndio huku. Kama ni kukonaa akili ndio huku. Kutupiana madongo hakussidii maans hata yatupwe makubwa kiasi gani hakukufanyi wewe Ridhiwano usiwe mtoto wa Kikwete na pia hakumfanye bwana Mnyika asiwe Mbunge wa Ubungo.

Kuheshimiana na kuambiana ukweli ndiko kunako leta maendeleo katika nchi hii na ndiko kunakoweza kuleta heshima kwa chama tawala na pia kwa vyama pinzani.

Naungana nawe kuwa suala la kupeleka mahi jimboni Ubungo ni ajenda katika ilani ya CCM na Mnyika kama mbunge wa Ubungo kazi yake ni kuitaka serkali ya CCM itimize ilani yake hata kwa kuifinya. Matusi ni ya nini?

Nakuunga mkono bwana Ridhiwani.
 
Naona fisadi mtoto anaomba muafaka kiujanjajanja kwake na nape kwa mfereji wa maji taka walioupigia chapuo lakini wametambua mwisho wanaanikwa wao. Zamu ya rizi na nape waje waelezee elimu zao na rizi atueleze ubilionea wake kaupataje
 
Hii nchi hii..dah natamani kujinyonga yani uyu jamaa leo nae anachochote cha kuongea?!wallahi!!
 
Kwanza we dogo unafikiria kwa kutumia matak o,kuna uzi ulikuwa hapa siku za nyuma ukikushutumu kutumia wanamuziki kusafirisha madawa kwenda china.jibu shutuma hizo ------ wee
 
Na mimi ningependa kuchukua fursa hii kumpongeza Mh. Mnyika kwa kuondoa utata/mashaka kuhusu degree yake.

Amefanya jambo la kishujaa sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
'yes.......mi namuunga mguu RIZ-WANN kama alivyosema mwenyewe HONGERA MBUNGE WANGU,HONGERA XANA.......NI CHANGAMOTO TU'
 
mh!,kwa iyo bro ukapiga hatua ki-elimu zaid baada ya kuahirisha masomo na kufanya siasa!,hongera yako!
 
Maelezo mengi lakini hayajafika mwisho kwa kutueleza kiwango cha juu cha elimu kilichofikiwa na mh. Mnyika. Kwa maana nyingine mh amejibu swali ambalo hajaulizwa halafu akaacha lile aliloulizwa
 
nape pale india si umekwenda kusoma vyuo vya wahindi ambavyo mlikuwa mnafanyiwa paper yan kama nape ndo akunaga kitu kwa kichwa na wala awezi pambana na mnyika hata kidogo huyu mbunge wa ubungo ni kipaji
 
kijana kapata A tisa , huo ni uthibitisho tosha wa uwezo wake , achana na degree za mjomba za profesa jaji aliyekuwa mkuu wa kitivo

Mhe.Mnyika ni jembe la ukweli.Kikwete angekuwa na maono ni bora angemfukuza huyu mganga wa Elimu Tanzania na kumpa Mnyika .Kwa hakika hatuwezi kupata aibu tuliyoipata mwaka huu kwa matokeo ya darasa la saba na kidato cha nne.
Hongera sana Bwana mdogo Mnyika.2015 si mbali utatusaidia kwa nafasi nzuri zaidi.
 
Nimeridhika na majibu yako!,tena umefanya jambo la msingi sana!,maana mm nimewasikia baadhi ya wadau wa "green part" wakidai eti ww ulikuwa umefeli chuo kkuu!
Tena ndio mada wanayojivunia ili wakuchafulie cv yako!,majibu yako ndio aibu yao!"BIG UP":yo:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…