Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
- The FACT ni kwamba Mheshimiwa hana Degreee kabisa, sasa ni muhimu akarudi Shule kuitafuta badala ya kuandika maneno mengi hewa tupu!! Go back to school!1
Le Mutuz
so what?
habar wadau,mbunge wa ubungo John Mnyika alisimamishwa masomo pale UD au aliamua kuahirisha mwaka?
Ali disco
Acha umby!!
Hayo ni mambo ya mtu binafsi
kwanza nashauri afanye mpango ahame akamalizie kwingine! chuo chenye kutoa mafisadi wasio na uchungu na nchi! wachumia tumbo! ma escrow!!!
Mnyika hama pls!!!
Rizi Moko umemsahau akabebwa na Prof. Asad
kuna ubishi unaendelea hapa wengine wanasema alifukuzwa na wengine wanasemaaliahirisha mwaka ukweli ni upi sasa
Mpigie +255 784 222 222 ili kuondoa umbeya wako.mkuu uzi huu nimeuweka kwa sababu kuna watu wanasema alifukuzwa na wengine wanasema aliahirisha,tunataka tujue ukweli ni upi?
Alifukuzwa kwa ajili kwa ajili ya utovu wa nidhamu!
habar wadau,mbunge wa ubungo John Mnyika alisimamishwa masomo pale UD au aliamua kuahirisha mwaka?
mods na nyie mda mwingine hizi thread zinazo jirudia rudia zipigeni chini,tumejadili sana mada kama hizi za mnyika hakuna jipya hpa.