Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

haya mambo ni magumu sana sidhanii kama hwa jamaa watarudi tena humu na kuuliza maswali yao ya cheichei,,,,,,,,ama kweli fikra za alie ndani ya box hutegemea na ukubwa wa box alilomo....tumeujua ukubwa wa box alilomo nape na rizmoja,,,,,,
 
Mkuu it's your IQ that is most questionable. You claim thats you are not here to speak on behalf of anybody, but there you go, clarifying on their behalf, justifying their misdeeds and praising them. Surely a puppet on a string dancing to its master's tunes. I am not defending anyone, what I expressed was a statement of fact. Mheshimiwa Mnyika is a man of integrity, unlike your comrades who forged their way through. I am not sure if you are not of the same caliber. Mkuu it's not a wise Idea to blow your own trumpet, othewise you might be mistaken for a fool. Lastly with your immature line of thinking if you are a graduate, than my great grand father was Napoleon the Great!!!!!!!

You damn and naive; what I did is to encourage you to take away that foolishness; Nape Nnauye already has his masters, you can't that shit away from him; Mnyika don't have a shit, I don't know how much you get paid to defend him; next time read the lines before you talk rubbish; I ask you a very simple question what you got? Sometimes you cowards talk nonsense just to please your masters; do you know what this word INTEGRITY mean? man drop dead! you are sick did you mean what you said! integrity my ass!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unafikiri kwamba mtu aliyesoma chuo miaka kadhaa, halafu akaacha anakuwa hana akili !?. Mbona ameeleza kwa nini hakumaliza, na mbona sababu zinaeleweka vizuri tu. Kila mtu ana malengo yake katika maisha na mara nyingine mtu analazimika kuacha vitu vingine vya muhimu (kama elimu) wakati fulani fulani ili atimize hayo malengo kwa sababu mara nyingine anakuwa hawezi kupata vyote, wako watu wengi tu ambao wamefanya hivyo, Mimi pia nimewahi kufanya hivyo, na nina akili za kutosha...Mwingine ni Bill Gates unataka kusema naye hana akili ?!.

Hana akili ndio maana kaikimbia shule; sababu alizozitoa ni nyepesi sana sasa maisha ya Mnyika ndio ya Bill Gate? Bill Gate aliacha shule kwasababu vitu alivyotaka kusoma tayari alikuwa anavijua na ndio maana amekuwa inventor sasa huyu kilaza wako ana nini cha kujivunia kuacha shule?
 
Last edited by a moderator:
Kamanda John Mnyika umewapata hawa vihiyo. Kwa upeo wao hata haya majibu yako hawatayaelewa. Kama ulivyosema suluhisho ni kuwapiga chini na siku ya siku wasimame kizimbani kujibu kesi za kudanganya umma kwa kisingizio cha upinzani. Kwa sasa maji ni marefu kwani kila wanachogusa ni cha moto. M4C mbele kwa mbele. Gari lililoanza kukuteremka milima ya kitonga hata ungekuwa na uwezo wa kubadilisha dereva kwa kurukia madhara yake yanaeleweka. Gharama ya kuchukua gari lililoanguka huko ni kubwa sana ni bora kununua jipya. Ukweli uko hivi: Magari yote yaliyoanguka huko yametelekezwa huko sana sana vijana wasio na ajira wanashuka kuchukua chuma chakavu.
 
hongera mnyka hakıka ww umezalıwa na kıpaj cha uongozı,haya sasa rıdhwan 2pe cv yako
 
You damn and naive; what I did is to encourage you to take away that foolishness; Nape Nnauye already has his masters, you can't that shit away from him; Mnyika don't have a shit, I don't know how much you get paid to defend him; next time read the lines before you talk rubbish; I ask you a very simple question what you got? Sometimes you cowards talk nonsense just to please your masters; do you know what this word INTEGRITY mean? man drop dead! you are sick did you mean what you said! integrity my ass!

Mkuu the language you use in your posts tells everything. No learned person would use words used by vagabonds. Clearly you are of the caliber, no integrity. I pity the party and the people you work, they could have opted for a learned and wiser person.Throwing insults don't make you any wiser, on the contrary indicate the type of person you really are. It is not surprising for a person who has forged his way though, to obtain a degree, to use foul language in public. Mkuu you a graduate!!! my foot.
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa katikati ya kazi jimboni nikaambiwa kwamba kuna mwito humu wa Nape na Ridhwan kutaka nieleze elimu yangu. WanaCCM walianza suala hili kwa ari, nguvu na kasi mpya niliposema kwamba nchi imefika hapa ilipo kwa sababu ya udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa Bunge na upuuzi wa CCM.

Nikapuuza, naona sasa limeibuka tena kwa ari, nguvu na kasi zaidi baada ya yaliyojiri bungeni kuhusu hoja binafsi niliyowasilisha bungeni kuhusu maji na mkutano wa hadhara wa tarehe 10 Februari 2013 na masuala ambayo niliipa Serikali wiki mbili kuyatolea majibu ama sivyo nitaongoza maandamano ya wananchi kwenda Wizara ya Maji kutaka uwajibikaji na hatua za haraka.

Kwa mara nyingine tena zinafanyika jitihada za kuhamisha wananchi kwenye mjadala kwa kumshambulia mtoa hoja badala ya hoja, sasa ili turejee kwenye mijadala ya msingi ni muhimu niweke kumbukumbu sawa kuhusu masuala kadhaa kama yalivyoombwa.

Elimu yangu sio siri, nimegombea ubunge mara mbili mwaka 2005 na 2010 na mara zote nimeeleza kuhusu suala hili; Nape na Ridhwan wangetumia tu elimu yao wangetafuta kwenye mitandao na kukuta majibu wanayoyatafuta. Nieleze kwa muktasari tu; nimesoma shule ya msingi Mbuyuni Dar Es Salaam (nilikuwa mwanafunzi wa kwanza kwa mkoa wa Dar es Salaam).

Nilichaguliwa kwenda Shule ya Sekondari ya Ilboru wakati huo ikiwa ya vipaji maalum, sikwenda; wito ulinituma kwenda Seminarini. Nilisoma Franciscan Seminary Maua (FRASEMA) mpaka kidato cha nne; nilipata daraja la kwanza; nikiwa na alama A katika masomo tisa.

Ningeweza kwenda shule yoyote ya Serikali ya kidato cha tano na sita yenye mchepeo ambapo ningeutaka; lakini niliamua kubaki Dar es Salaam shule ya Tambaza kwa sababu nilitaka kusoma huku nikiendelea na harakati ambazo nilizianza kabla.

Hapa ndio ilikuwa chanzo cha mimi kuingia kwenye kazi ya kuhamasisha mabadiliko kwenye mimbari nje ya utumishi wa madhabahuni. Tukio lililobadili mwelekeo wa maisha yangu, mwaka 1998 nikiwa kidato cha nne; nimesoma na tumeanza mitihani tukatangaziwa kwamba mitahani yote imefutwa baada ya kuvujishwa.Tukarudishwa nyumbani kipindi hicho nikaenda kwenye mafungo kujitafakari kwenye mkoa mmoja nikarejea Dar es Salaam nikakutana na wanaharakati kadhaa wa asasi zisizo za kiserikali; maelezo kuhusu ufisadi yalinifanya nione nina wajibu kwa nchi yangu, nikarejea Seminarini kufanya mitihani nikiwa na fikra tofauti.

Matokeo yakatoka nimefanya vizuri, kwa mifumo yetu mibovu ya wakati huo kwa mara ya pili tena Serikali hii inayoongozwa na CCM haikutambua vipaji na nikapaswa niendelee kujilipia ada mwenyewe kama ilivyokuwa kwa ngazi nyingine za elimu zilizotangulia; hapa nikakata shauri kwamba nitatumia uwezo na uadilifu wote ambao Mwenyezi Mungu amenijalia kuwezesha mabadiliko katika taifa letu.

Nikaamua kuacha kwenda kwenye shule za bweni mikoani na kubaki Dar es salaam nisome Tambaza huku nikiendelea na kazi za harakati; wakati huo nikihamasisha masuala ya ukombozi wa vijana nchini. Pamoja na kusoma kutwa huku nikifanya kazi nilipata daraja la pili katika kidato cha sita.

Taasisi nilizoanzisha au nilizoongoza katika kipindi hicho na kazi nilizofanya sio siri na zinapaswa kujieleza zenyewe kwa matendo badala ya maneno. Katika kipindi hicho, wakati huo kukiwa hakuna Mfuko wa Elimu wala Bodi ya Mikopo nikashiriki katika ushawishi wa mabadiliko ya kimfumo; nilikwenda Dodoma, tukakutana na wabunge na mawaziri nikawasilisha mada “Towards a more functional education in Tanzania”, wakati huo nikiwa mwanafunzi wa Sekondari.

Kati ya wabunge waliosikiliza mada niliyoiwaisilisha wakati huo sasa ni Rais Jakaya Kikwete ( Ridhwan ukiwa nyumbani unaweza kumwuliza maoni yake aliyotoa siku hiyo kuhusu ugharamiaji wa elimu na suala la mauaji ya mwanafunzi wa Iyunga Michael Sikupya). Nilipotoka kwenye mkutano ule Dodoma mwishoni wa miaka ya tisini, nilikata shauri kwamba mwaka 2005 nitagombea Ubunge hii ni baada ya kushudia aina ya wabunge waliokuwepo.

Mwaka 2002 nilijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Es Salaam kusomea “Bachelor in Business Administration (BBA) kwenye programu ya jioni; nilifanya hivyo kwa kuamua kwa kuwa nilitaka nisome huku nikiendelea na kazi. Mkuu wa Programu hiyo wakati huo alishangaa sana kwa umri wangu (wakati huo shahada hiyo walikuwa wakisoma wazee watu wazima wafanyakazi) na matokeo yangu (kwa kuwa yaliniruhusu kwenda kuingia kusoma katika mfumo wa kawaida). Nikamweleza akanielewa kwamba sitaki kusoma kama wanachuo wengine wa kawaida, uamuzi wangu huo ulikuwa na gharama kwa kuwatafsiri yake ni kuwa nilipaswa kujisomesha binafsi.

Kwa hiyo mimi ni kati ya wale ambao hatudaiwi na nchi hii kwa maana ya kwamba sijawahi kuchukua ruzuku wala kusomeshwa na Serikali hii inayoongozwa na CCM; nimesoma kwa jasho la wazazi wangu na langu binafsi. Kwa hiyo, nijibu tu kuhusu elimu yangu ya juu kwamba nimesoma miaka mitatu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (mtu aliyosoma kwa kiwango hicho kwenye baadhi ya vyuo duniani hupewa associate degree).

Mwaka 2004 ikaanza misukosuko mbalimbali, mwaka huo ulikuwa ndio unatungwa muswada wa Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, haya matatizo yanayotokea leo niliyatabiri wakati huo. Niliwasilisha mada kwa wanachuo kwenye ukumbi wa Nkurumah kuchambua udhaifu wa muswada huo na kupata maoni ya wanafunzi kuhusu marekebisho yanayohitajika; wanachuo wakapitisha azimio la kwamba muswada huo upingwe.

Kesho yake nikiwa Morogoro kikazi kukafanyika mgomo hatimaye wanafunzi wakapigwa na kukamatwa.Nakumbuka nilikatiza kazi niliyokuwa nafanya nikarejea kwa kuwa Chuo kiliweka sharti kwamba lazima wanachuo waache mgomo ndio waliokamatwa waachiwe. Wakati huo Serikali ya wanafunzi ilikuwa haisikilizwi, mimi na wengine wachache tukajitolea kuzunguka kampasi na hosteli zote kushawishi wanafunzi kurejea masomoni na wakafanya hivyo.

Serikali ya CCM ikatoa maelekezo kwamba kama tumeweza kuwafanya wanafunzi warudi, hata kama sikushiriki mgomo na sihusiki na masuala ya mikopo kwa kuwa ni mwanafunzi ninayejilipia mwenyewe lazima nisimamishwe; nikiwa mwanafunzi pekee wa BBA niliyesimamishwa wakati huo.

Nikarejea baada ya muda tayari kukiwa na mvutano kati yangu na utawala, mwaka 2005 nikaamua kugombea Ubunge wakati huo nikiwa mwanafunzi; mvutano ukaongezeka zaidi. Na utawala wa Chuo ukawa unapata mashinikizo mengi kutoka kwa Serikali na CCM; wengine wakipendekeza nifukuzwe, wengine nifelishwe na wengine nisiruhusiwe kuingia katika maeneo ya Chuo jioni masomoni kwa kuwa nitakuwa nafanya kampeni.

Nikawa katika mtanziko(dilemma) wa kuchagua ama kuendelea na masomo na kujitoa au kupunguza nguvu kwenye kampeni (mbinu nyingi zilitumika wakati huo, sio sehemu ya majibu yangu ya leo) au niendelee na kampeni. Nafsi yangu ikanituma kuamua kuandika barua yakuahirisha masomo, baada ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2005 mazingira yalikuwa yamebadilika sana kuweza kurejea kumalizia mwaka au miezi michache iliyokuwa imebaki.

Mwaka 2006 nikiwa Marekani nilitafakari sana na kufikia uamuzi wa kuendelea na kazi hii ya kusimamia mabadiliko na kujiandaa na uchaguzi wa mwaka 2010. Mwaka 2010 niligombea tena na kushinda wakati huo huo nikiongoza kazi za kitaifa za kampeni makao makuu pamoja na Profesa Baregu na wengine; hakuna mahali popote nilipowadanganya wananchi kuhusu elimu yangu, kama nilivyoeleza hapo juu.

Naamini wananchi wa Jimbo la Ubungo walinichagua kwa uwezo na uadilifu wangu, na walijua pia kwamba nilikuwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa miaka mitatu. Naamini elimu ni kitu muhimu sana kwa kiongozi, lakini wapo wenye elimu kubwa ya vyeti lakini hawajaelimika na wapo wenye elimu ndogo sana ya vyeti lakini wanaelewa mkubwa wa kutimiza majukumu yao ya uongozi.

Tangu mwaka 2012 na 2013, nimekuwa kwenye mtanziko mwingine na viongozi wangu ndani ya chama wanafahamu; niliomba kuachia majukumu mengine yote katika chama ili nibaki na ubunge peke yake niweze kuwatumikia wananchi wakati huo huo niendelee na masomo zaidi ya elimu ya juu katika fani inayoendana na kazi ninayoifanya ya sasa na matarajio yangu ya baadaye.

Hata hivyo, kwa mwelekeo huu wa Serikali na CCM leo nieleze tu kwamba nikifanya hivyo itakuwa faida zaidi kwa watawala tunapoelekea mwaka 2015; hivyo, nimeamua kama nilivyoamua mwaka 2005; kwamba nitarejea masomoni baada ya CCM kuondoka madarakani na Tanzania kupata Serikali mpya itakayoongozwa na CHADEMA. Kwa sasa nitaendelea kujisomea kila siku ninapopata wasaa kwa kuwa elimu haina mwisho.

Wakili Ridhwan katika maandiko yake amefanya rejea ya suala Kihiyo wa CCM Temeke, nashauri arejee kwenye hukumu ya kesi ile na marekebisho ya sheria yaliyofanywa na Serikali yaCCM kuwalinda wabunge wake vihiyo baada ya hukumu.

Mifano hailingani kwa sababu mimi sijatoa maelezo ya uongo popote. Lakini hata kwa wabunge wa CCM wanaotoa maelezo ya uongo wa wapiga kura, marekebisho hayo yamewawekea wigo wa mianya yakutokea mahakamani. Zamani fomu zakuogembea zilikuwa na mahali pa kujaza elimu ya mgombea, sasa kipengele hicho kimeondolewa. Hivyo, suala la kughushi na kutoa taarifa za uongo haliko kama ilivyokuwa awali, isipokuwa kesi inaweza kufunguliwa ya ukiukwaji wa kawaida wataratibu za kampeni kwa kuwashawishi wapiga kura kwa taarifa za uongo (ndani ya ule muda wa kisheria wa kesi kufunguliwa ambao ulishapita).

Halafu ni jukumu la mlalamikaji sio tu kuthibitisha kwamba uongo ulitolewa bali uongo umeathiri vipi matokeo. Ndio maana leo kuna vihiyo wengi tu wa CCM ndani ya Bunge lakini ni vigumu kuwabana kwa mfumo wetu wa sasa. Baada ya majibu hayo marefu, naamini sasa Nape unaweza sasa kurejea kwenye kujibu; Elimu ya Mnyika ina uhusiano gani na CCM kuahidi kwenye ilani yake na kushindwa kutekeleza kwamba ifikapo mwaka 2010 asilimia 90 ya wananchi wa mijini ikiwemo Dar essalaam watakuwa wanapata maji safi na salama? Ridhwan kwa kuwa umeweza kufanya rejea unaweza pia kueleza ni kwanini Rais Kikwete mwaka 2011 aliahidi kuwa tatizo la maji Dar es Salaam litakuwa historia mwezi Februari 2013 lakini mwezi huo umefika na matatizo bado ni makubwa?

JJ

Wakuu mimi naamini kwamba mtu hatengenezi jina bali kazi zake zinatengeneza jina lake; kwa mfano ukiwa mkamata kileo sana watakwita "Mlevi" hilo ni jina lililo jitengeneza. Ukifanya utapeli kazi yako itakutengeneza jina la Tapeli. Hivyo nina amini kwamba haijalishi umesoma na kuhitimu shahada kadha kazi yako itatupa jina. Tutawageza kwa mchango wenu kwa umma. Mnyika, Nape, Ridhiwani tunataka kuona mchango wenu kwa watanzania na wala si shahada zenu. Leo hii tuna madokta feki lukuki "Mheshimiwa Dk......." Hizo titles hazisaidii kitu ni bora wakuite John,Ridhiwani na hata Nape lakini tuone kazi zako na tukupe jina badala ya malumbano yenu ya usomi ambao baadhi ya wasomi hatuoni lolote." Usomi ni kufuta ujinga na wala siyo kufuta upumbavu"
 
Ridhiwan amedaka mada ya dada yake mbowe kuhamia ccm, Hapa huwezi kumuona anachangia. CV yake bora ya nape make kakomba hela yetu nyingi. Viva mnyika, PEEEEEEEEPLES
 
haya nape unasemaje kijana,,,,,,una swali jingine?
Mwenzio riz1 kashaelewa....maana kwa jinsi ulivomgumu kuelewa unaweza ukawa bado hujaelewa,,
 
Mkuu the language you use in your posts tells everything. No learned person would use words used by vagabonds. Clearly you are of the caliber, no integrity. I pity the party and the people you work, they could have opted for a learned and wiser person.Throwing insults don't make you any wiser, on the contrary indicate the type of person you really are. It is not surprising for a person who has forged his way though, to obtain a degree, to use foul language in public. Mkuu you a graduate!!! my foot.

There you go again; I did not get any favor in my life; I worked hard; very hard! I live comfortably now because of my past decisions; I don't give a damn who you pity for; all I do is keeping my words straight so you can understand; other than being a loyal member of CCM; Chama does not work for anyone; just Chama and only Chama; who do you work for?? Do I care how you perceive me? HELL NO! so drop dead!!!
 
There you go again; I did not get any favor in my life; I worked hard; very hard! I live comfortably now because of my past decisions; I don't give a damn who you pity for; all I do is keeping my words straight so you can understand; other than being a loyal member of CCM; Chama does not work for anyone; just Chama and only Chama; who do you work for?? Do I care how you perceive me? HELL NO! so drop dead!!!

Mkuu you should care how people perceive you, you don't live on an island and I am part of the electorate, each and every party pleads for our votes during the elections.For being loyal to your party I truly hope its true, and not just an opportunist. For your information I am a simple peasant and don't work for anyone. Lastly let's agree on disagreeing like gentlemen. In my humble opinion the mheshimiwa who has posted his credentials in this thread, is a man of honor.
 
sasa tusubiri waje na elimu zao za kichina hapa maana tunawajua hata waje kinyumenyume umewakamata pa baya.

nape na ritzone tafadhali mtuwekee grades zenu za darasa la saba,form four na form six.au anayezijua atuwekee hapa jamvini.
 
Mkuu you should care how people perceive you, you don't live on an island and I am part of the electorate, each and every party pleads for our votes during the elections.For being loyal to your party I truly hope its true, and not just an opportunist. For your information I am a simple peasant and don't work for anyone. Lastly let's agree on disagreeing like gentlemen. In my humble opinion the mheshimiwa who has posted his credentials in this thread, is a man of honor.

Man you need help! let me repeat myself in case you did not get it right; I don't give damn how you perceive me; You are big time opportunist that why you kissing your masters ass! I don't have anything to agree or disagree with you what I do is to tell you as it is! Are you suffering from some kind of mental retardation? since when Mnyika has been man of honor? Did I say I am looking for votes? man seek medical attention before it's late!
 
mkuu you should care how people perceive you, you don't live on an island and i am part of the electorate, each and every party pleads for our votes during the elections.for being loyal to your party i truly hope its true, and not just an opportunist. For your information i am a simple peasant and don't work for anyone. Lastly let's agree on disagreeing like gentlemen. In my humble opinion the mheshimiwa who has posted his credentials in this thread, is a man of honor.

nina list ya majembe ya inji hii,mnyika ni mmojawapo.kuna jamaa ana list ya majizi.unaweza ukaandaa list ya wauza unga ukitaka.
 
Man you need help! let me repeat myself in case you did not get it right; I don't give damn how you perceive me; You are big time opportunist that why you kissing your masters ass! I don't have anything to agree or disagree with you what I do is to tell you as it is! Are suffering from some kind of mental retardation? since when Mnyika has been man of honor? Did I say I am looking votes? man seek medical attention before it's late!

Mkuu it's too bad, with your filthy, and foul language, the more reservations I have about your education. If you have no valid arguments except insults, I give up. But if you are a graduate, than I am a Chinese.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu it's too bad, with your filthy, and foul language, the more reservations I have about your education. If you have no valid arguments except insults, I give up. But if you are a graduate, than I am a Chinese.

Man look I am not insulting you! my job is to adjust some screws in your brain so you can analyze things right; do not expect apology from me; men don't gives up they fight till the last drop! you are too immature!!
 
Man look I am not insulting you! my job is to adjust some screws in your brain so you can analyze things right; do not expect apology from me; men don't gives up they fight till the last drop! you are too immature!!

Mkuu, one keeps up the fight, when one meets an intelligent opponent, otherwise I'm putting the matter to rest. I can not stoop so low to use vulgar language, as you used in your former posts. Iam sure had you been Mheshimiwa Mnyika, he would have argued intelligently without the use of unbecoming language. Things are crystal clear who can one honor a forger or a honest person. Lastly any intelligent person can easily deduce, who can most likely use the user name chama.
 
Back
Top Bottom