Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

wageni wa JF mnasumbua sana

Mnyika alishaweka kila kitu hadharani humuhumu JF, hebu pitieni threads za zamani mpate majibu ya hoja zenu
 

Achana na mambo ya div na degree, tunataka deliverables now
 
Elimu yake itakusaidia nini???!!! Kweli akili Kubwa huongelea mawazo; akili nyepesi huongelea matukio; lakini akili ndogo huongelea watu!
 
Modes unganisheni huu uzi na uzi wa majibu ya mh Mnyika kwa Mh Rithwani J.k juu ya elimu yake. Huyu amejiunga jana na jf bada ya kumalza form 4, matokeo yake sijui itakuaje!
 
wewe ni mpumbavu......

Waulize akina Tibaijuka wenye degree kibao wamekusaidia nini?
 
Lakini kwanini wapambe wa John Mnyia mnakuwa wakali sana kwenye suala la elimu yake? Kwanini mnaogopo kuacha ukweli ujulikane?
 
mleta uzi huu msen@@@@ sana wewe elimu ya mnyika hata ukijua itakusaidia nini...fal... wewe
 
Lakini kwanini wapambe wa John Mnyia mnakuwa wakali sana kwenye suala la elimu yake? Kwanini mnaogopo kuacha ukweli ujulikane?
wewe ku@#$@ sana elimu itakusaidia nini...mulize lakairo au maji marefu fu#$&k... wewe
 
Tatizo ni kuwa ukiwa chadema uko sawa kila kitu .kumbe wote waganga njaa.achana na Rizwan na Nape hao shsuri nyingine.
 

Miaka mitatu unapata degree kama ukisoma full-time, na siyo part-time evening classes. Na ndiyo maana ameweka usanii hapo kwenye red kutaja miaka mitatu na associate degree. UDSM haikumpa mnyika associate degree.
Kwa ufupi haka kajamaa ni kakilaza haka.
 
JF siku izi imevamiwa na vichaa
watu wanabishana ujinga uko vijiweni wanakuja kutuletea ujinga wao apa
 

wewe sho.....ga inaonekana degree degree degree ur ass, hao maprof wenu na madokta wamekufanyiaa nini kum#$@@@@a tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…