Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Kwasababu hao wasomi wako waliwezaje kufaulu kama English haipandi maana vyuo vikuu hutumia English kwa masomo yote

Vyuo vya nchi kama Germany au Japan au China wanafundisha kwa kutumia lugha zao na mwanafunzi anamaliza akiwa kaiva!

Siyo kila msomi lzm ajue kiingereza na kuniweka mm kwenye magamba ni kosa lingine unalo lifanya!

Sijawahi kuwa na chama!!
 
Jaribu kunielewa tunaongelea elimu ya Tanzania ambayo mfumo wake hauko kwa kiswahili. ..yaani we jamaa bichwa lako jeupee peee limejaa makamasi maana hunielewi...
 
Jaribu kunielewa tunaongelea elimu ya Tanzania ambayo mfumo wake hauko kwa kiswahili. ..yaani we jamaa bichwa lako jeupee peee limejaa makamasi maana hunielewi...

Umefundishwa kitu leo na unapaswa kukubali kuwa elimu sio lugha bali ni ufahamu!

Unatukana matusi bila msingi wowote
 
Vyuo vya nchi kama Germany au Japan au China wanafundisha kwa kutumia lugha zao na mwanafunzi anamaliza akiwa kaiva!

Siyo kila msomi lzm ajue kiingereza na kuniweka mm kwenye magamba ni kosa lingine unalo lifanya!

Sijawahi kuwa na chama!!
Mkuu Malafyale msamehe tu.
Kuna wale ambao hawajui na wanajua kuwa hawajui,na wale ambao hawajui na hawajui kuwa hawajui.
 
JF ishakua tambara sasa. Angalia tu Wakongwe asilimia kubwa humu wamekaa pembeni.
 
Jaribu kunielewa tunaongelea elimu ya Tanzania ambayo mfumo wake hauko kwa kiswahili. ..yaani we jamaa bichwa lako jeupee peee limejaa makamasi maana hunielewi...
Sio watanzania wote waliotumia kiingereza, hasa vyuoni. Watu wameenda China, Russia, Sweden, Norway n.k wametumia lugha zingine kabisa kusomea hizo degree zao. Msikariri kuwa mtu asipoongea kiingereza basi hajui.
 
English ndio mambo yote mkubali mkatae..wasiojua English ni vilaza

Pia acha kudandia gari kwa mbele maana hujaelewa mada
 
JF ishakua tambara sasa. Angalia tu Wakongwe asilimia kubwa humu wamekaa pembeni.

Pole sana huijui JF wewe! Hao unaosema wakongwe kwa taarifa yako wapo sana humu sema tu umekariri IDs watu wana multiple IDs humu..kwa taarifa yako viongozi wote unaowajua ww nchi hii wamo humu na kila siku lazima waperuzi wapate madini!
 
kipimo cha elimu ni umefanyia nini nchi yako na una uwezo gani kukabili changamoto na kuzitatua? na sio una digrii ngapi?
 
Sio watanzania wote waliotumia kiingereza, hasa vyuoni. Watu wameenda China, Russia, Sweden, Norway n.k wametumia lugha zingine kabisa kusomea hizo degree zao. Msikariri kuwa mtu asipoongea kiingereza basi hajui.

Mkuu achana na huyu jamaa hajui chochote!!
 
English ndio mambo yote mkubali mkatae..wasiojua English ni vilaza

Pia acha kudandia gari kwa mbele maana hujaelewa mada

Mada kaielewa na kubali ulikuwa hujui kuwa nchi kama nchi nyingi wasomi wake hawafundishwi kiingereza na wana weledi mkubwa tu!!
 
Hivi rizone na nape walipata "A" ngapi mtihani wa kidato cha 4, nataka tuanzie hapo. Kijana kagonga A tisa??? shaaaabashi. Nina uhakika nape hajafikisha hata c mbili, atakuwa na D kurudi nyuma
 
Ukweli wa elimu yako unakusaidia nini???angalia ma professa kama Kapuya,Maghembe.Tibaijuka,Msolla elimu zao zimesaidia nini taiga letu la tanzania n wengineo kukaa bungeni zaidi Ya miaka 20,Mnyika Ni mtu anayetoa hoja za mashiko bungeni hata Serekali Ya ccm wanamtambua,Ma professa hao niliokutajia Ni lini walileta hoja kwa manufaa za watanzania???Au kusaini Mikataba za wizara nao kwa manufaa Yao binafsi kwanza then ndio tanzania .!!Nini hatma Ya Tanzania ??????
 
the same applies j.j mnyika amejieleza kiufasaha ameeleweke tuje kwa Nape na RIDHIWAN IPO minong.ono juu ya elimu ya nape kuwa haitoshi kwa nafasi aliyo nayo .amepachikwa tu. mtendaji Wa kata anatakiwa awe na angalau digrii .katibu mwenezi inakuwaje .hapa hakuna kubebana .NAPE njoo utiririke Tuje kwa ridhiwan .Riz1.umesoma baba akiwa ni mkuu Wa nchi.inasemakana darasani ulikuwa na mapungufu hata kupelekea upate msaada kutoka kwa wakufunzi ili usimwaibishe mkuu .elimu yako hujaipata kwa kusota Kama ilivyo kwa watoto Wa wakulima ..kwa tafsiri rahisi ulibebwa Sana .hebu weka wazi hili
 
Kenye blue ni kweli kwenye red uongo. Mnyika akuweza kupata hata division 2 form six. Na ndiyo maana Mnyika mwenyewe huwa anakwepa kujibu swali hili na kuwaachia wapambe wake wajibu. Anaelewa wazi kwamba uongo huu ukisemwa na wapambe hauna madhara kwae. Lakini uongo huu akiusema yeye mwenyewe una madhara kwake.

Aje John Mnyika hapa aseme kama alipata division 1 form six Tambaza.

Someni maelezo yake na kuyaelewa . A level kapata division 2 na ameeleza. Na suala la BBA kasema bado hajaimaliza , msimlishe maneno
 
Back
Top Bottom