Pamoja Na Kuwa Hana Degree Lakini Ni Mmoja Kati Ya Wabunge wenye IQ Kubwa zaidi bungeni...
Kuna maproffesa, Maphd, Masters, Degree Holder zenye GPA Kubwa Lakini Hawana:::
¶~Uzalendo
¶~Ni Mafisadi
¶~Wala Rushwa
¶~Hawana Hoja bungeni wakisamama bungeni hawana mvuto wamejaa ushabiki na uchama, kazi yao ni kulinda Chama.
Alishawahi kuongea Mch. Peter Msigwa..Akasema " Nashangaa watu wanaojiita wana uchumi, wapo wengi lakini hakuna wafanyacho katika nchii. Wakiongea hapa hawana tofauti na mtoto mdogo tu, elimu zao wameweka mfukoni na kubeba ushabiki wa vyama na kupiga hela...
Tunalipeleka wapi taifa hili????
Kuna baba yangu mdogo "Le Mutuz" kaongea kishabiki sana kuhusu mnyika my brother!!
Namheshimu sana Mr Le Mutuz Sana Sana ila kwa hili la bro mnyika kapotoka..
" ajilinganishe yeye na mnyika kielimu na uwezo alionao mnyika hasa mchango wake na uzalendo wake katika nchi hii kama wapo sawa..kusaidia.mdada kwenda india kutibiwa isikupe kiburi ma father...acha ushabiki.....mnakaa kumsema mnyika hali elimu yake lengo lenu si zuri kuna kitu mmeona anacho ambacho nyie hamna thats why...
Tujirekebishe watz tuache ushabiki hasa wale wenye rangi ya uwanjani turudishe uzalendo.
Nimeandika kwa hisia sana tusameheane kama kuna watu nimewakwaza...ila lengo turekebishane..
Mshaurini JJM na Siyo kumponda na kumlinganyisha na walafi wengine wasio na huruma na nchi hii..
Mwacheni apige kazi Elimu ipo haifi!
Ridhiwani nae alete CV yake hapa jamvini.
Peopooooooooooz Power! Where they wabeba jeneza la CCM! Nape&RIZ moko!!
Sikiliza ndugu. Hakuna anayemponda John Mnyika kwa kukosa degree. Kuwa na degree inategemea zaidi nafasi ulizozaliwa nazo katika maisha kuliko uwezo wako wa kitaaluma. Kinacholeta matatizo ni kwanini aliwadanganya wapiga kura wake kwamba ana degree ya udsm wakati siyo kweli.
Kama huelewi suala zima la leadership ethics and integrity ndiyo utakuwa unasema hayo uliyoyasema.
He needs to come clean and declare that he told lies to be elected.
Hivi rizone na nape walipata "A" ngapi mtihani wa kidato cha 4, nataka tuanzie hapo. Kijana kagonga A tisa??? shaaaabashi. Nina uhakika nape hajafikisha hata c mbili, atakuwa na D kurudi nyuma
Mkuu sometimes kuwa intellectual japo kidogo, makelele matupu hayatakufikisha popote, majibu ya mnyika yapo direct na walioanzisha hiyo mada ni Nape na Riz1, na Riz ashakubaliana na Mnyika kuhusu elimu yake. Na ukikaa miaka mitatu chuo huko magharibi unapewa "associate degree". Mnyika kasema mfumo mbovu wa serikali ya CCM um.etufikisha hapa,kafanyiwa zengwe sana lakini jamaa katusua.
Sasa ushauri wangu kwako: lete audio ya Mnyika alilodanganya wanaubungo,huo mkutano alifanyia wapi, halafu hoja yako itakuwa valid, manake JJ mwenyewe amekanusha hajawahi kuwadanganya, ila we unashupalia bila data, so weka audio otherwise piga kimya mkuu.
Myika alikuwa mwizi wa kutuibua mabwenini mpaka akafukuzwa leo eti anajifanya kasoma degree gani aliyokuwa nayo kama si ya wizi.
Wewe siyo John Mnyika. Mwache mwenyewe aje kutujibu hapa.
Kwa hili naona 'Kilaza' ni wewe hapo unayepotosha watu humu JF. Huna ruhusa ya kuzungumza jambo ambalo ama hulifahamu vema ama hujalifanyia utafiti. Kuna watu mbalimbali walio graduate ndani ya miaka mitatu na kupata degree zao kule Open University, Mzumbe na kwingineko ambao walikuwa ni part time students. Ni mwaka jana Nape Nauye alipata degree ya MBA (Mzumbe) na laikuwa ni part time student na alipata ndani ya miaka miwili kama wanafunzi wengine ambao walikuwa full time. Kama ulikuwa hufahamau ni hivi; mtu anakuwa kwenye program kama part time student anaweza kuchukua kozi load ya kozi zote zinazo takiwa kama full time student pale anapokuwa ana uwezo. Na pale anapokuwa hana uwezo au ana majukumu mazito basi (kuna open option) kuwa anaweza kuchukua kozi chache zaidi (mbili na hata moja akitaka kwa kila semester) ambapo itamchukua muda mrefu zaidi ku graduate. Hivyo wacha kupotosha watu kwa jambo usilolijua. Wachina walisema.... 'No Research No Right to speak' .
Ukweli mi kwamba, John Mnyika degree hana.
Mnyika ali disco udsm, ushahidi ninao
Rejea kusoma majibu ya John Mnyika kwa makini kabisa na 'point out' ni wapi alipodai kuwa ana degree?
Here's free advice for you. You need to learn how to read and eventually you will improve your intellectual level and ability analyze information and make a comments (like your participation in the forum such as JF)
Mkuu, hujui kuwa Riz ana Degree ya Sheria kutoka Chuo Kikuu UDSM a.ka. Chuo Kikuu Cha Ubungo?. Ni Advocate pia!