Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

- The FACT ni kwamba Mheshimiwa hana Degreee kabisa, sasa ni muhimu akarudi Shule kuitafuta badala ya kuandika maneno mengi hewa tupu!! Go back to school!1

Le Mutuz


We mwenye degree ya ubaharia una nin ! Miaka53 unakula Kwa mama wa kambo tena !kazi kukumbatia makahaba kwenye danguro na kupiga picha acha ushamba au. Wagiriki walisha kuharibu melini !!
 

That's poor of you!!!
 
We mwenye degree ya ubaharia una nin ! Miaka53 unakula Kwa mama wa kambo tena !kazi kukumbatia makahaba kwenye danguro na kupiga picha acha ushamba au. Wagiriki walisha kuharibu melini !!

Hahaa umsahau kmwambia aache na kuazima nguo
 

Njoo na wewe ujibu tuhuma za kujihusisha na madawa ya kulevya kule China.
 

Bill Gates never graduated even a bachelor, for what reason??? Simply he said it would slow him down to achieve more objective matters( in this case development of windows and who doesn't not what windows transformed the world of computing). Its not a question of how many bachelors/masters/doctorate e.t.c . its a question of vision!!!!! unfortunately after JK Nyerere we never have one. So when you see the ones like JJ Mnyika you should be thankful!!!!
 
regardless of whether or not Mnyika has a degree, is completely irrelevant. He has proven to be a very effective leader without the baloney degree you give so much weight. Kwani prof Anna Tubaijuka si anazo degree nyingi tu za uchumi? JK naye ana degree yake na nyingine za kupewa Za heshima. Are these people worthy of leadership than Mnyika? Come on guys... Hizo za prof Muhongo zimefutikasha wapi? Bado tu hatutaki kuamka kutoka kwenye huu usingizi ulisiokuwa na tija wa kuthamini hizi degree zisizokuwa na maana? Kwa hiyo mh. Mbowe kwa sababu hana degree hana sifa ya kuwa Kiongozi mzuri? Au Tibaijuka na Muhongo ni viongozi bora zaidi ya Mbowe na Mnyika kwa sababu tuu wana degree? Embu tuacheni utani na propaganda zisizokuwa na tija!
 

Can You disclose your real Identity And what You do And your achievements so far Maybe only we can then value your opinion...👍..Less than that ni majungu tu unaongeaa
 
Kwanini unasema nina chuki binafsi? Kuuliza kuhusu ukweli wa kiongozi ni chuki binafsi? Huoni kama watu kama mimi tumekusaidia hata wewe kutambua kwamba kiongozi huyu ni muongo?
 
KAMA ELIMU INAUMUHIMU KTK MAENDELEO, Eleza Ni Kwavp Elimu Ya PROF MUONGO, TIBAIJUKA,JAJI WEREMA,CHENGE IMESAIDIA MAENDELEO? KWANGU MIMI ELIMU NI DARAJA LA KUFANYIA UFISADI
 
Kikwete mwenyewe hana elimu..hata kuongea English hawezi. Jj mnyika upstairs yuko sawa.
 
Kikwete mwenyewe hana elimu..hata kuongea English hawezi. Jj mnyika upstairs yuko sawa.

Kuwa na elimu bora sio lzm ujue kiingereza!

Kuna wasomi kibao wanashinda hadi tuzo za kimataifa hawajui hata kutamka "the"
 
Kuwa na elimu bora sio lzm ujue kiingereza!

Kuna wasomi kibao wanashinda hadi tuzo za kimataifa hawajui hata kutamka "the"

Hujanielewa na hutanielewa maana uko hapa kutetea tonge lako..msaka tonge mkubwa wewe

Kwasababu hao wasomi wako waliwezaje kufaulu kama English haipandi maana vyuo vikuu hutumia English kwa masomo yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…