Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Mnyika nenda kamalize shule kwani haina shortcut usijazwe kichwa ukadhani siasa ni mbadala wa elimu. Itapendeza Kama utasoma Kama wenzako kina zito na halima usibaki Kama mwenyekiti wako
 
Hakuna mtu ninaye mdharau kama Nape.huyu jamaa ni mpumbavu SANA sijapata kuona.

namwangaliaga anavyobwabwaja kwenye majukwaa yani hana tofauti na taahira hivi hawa ccm wamekosa viongozi kweli? hii nchi inazidi kugeuka kuwa ya vikaragosi
 
Elimu inaonekana kwa kazi, si vyeti na degree.

Kwa msingi huu, Ridhiwani na Nape wana elimu gani?
 
nimeipenda hii ya Mhesh. Mnyika na Mhesh. Ridhiwani.
hakuna lugha chafu, na maelezo yanamashiko!! hongereni!!
 
Myika alikuwa mwizi wa kutuibua mabwenini mpaka akafukuzwa leo eti anajifanya kasoma degree gani aliyokuwa nayo kama si ya wizi.

Naona uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo! Kuwa ccm lazima uwe na akili za maiti
 
U must be riz 0 ww

I am afraid you have a brain handicap! Can't you understand even that pretty simple swahili lady? The glimpse of my post was that Mnyika has not completed his study due to unethical and political (not academic) propaganda at UDSM which are CCM biased. Generally I suported Mnyika's defence. Dont label a person before you understand his/her stand. Use your brain to think;
 
Ridhiwani weka cv yako tuione na ueleze wazi ukuu wa Idara TRA na utajiri wako, Nape weka cv yako wazi tuione ulivyosoma kidato cha tano na sita chuo cha ualimu B utimba
 
Ridhiwani weka cv yako tuione na ueleze wazi ukuu wa Idara TRA na utajiri wako, Nape weka cv yako wazi tuione ulivyosoma kidato cha tano na sita chuo cha ualimu B utimba

mbowebna yeye aweke
 
Can You disclose your real Identity And what You do And your achievements so far Maybe only we can then value your opinion.....Less than that ni majungu tu unaongeaa

Damn you !! I am good!
 
Wakudadavua pitia mada hii utuambie ni lini Mnyika alidisco...

Ukiendekeza ukilaza wa Lumumba utaumbuka JF ina kila data...

Ndio maana Baba Jesca leo hapumui humu..
 
Composed, poised, and polished!

Dogo wa Kikwete na Nape sidhani kama wanaweza kuandika kama alivyoandika Mnyika hapa!
Kuna wale wanaosave CV zao kwenye flash disk,Ole wako ipotee,yaani inavyochungwa kuliko hata password ya ATM.
 
Duh kama hii ndo elimu yako mh mbunge wangu mnyika kumbe hata mm nimekuacha mbali sana
 
Nimesoma na kusoma lakini sijaelewa kitu. Mada ni elimu ya Mnyika: elimu yake ni ipi? Ni Form 4 zenye "A" 9? Kasema hakutaka kwenda Ilboru akaona bora aende Seminari. Je ni Mkatoliki? Kama ni Mkatoliki, wito wa kwenda Seminari hufuatwa na kwenda Upadri: kwa nini hakubaki kwenda Seminari ya Kibosho au ya Ntungamo au ya Kipalapala? Kama alitaka kukaa Dar es Salaam (why?) angeenda Seminari ya Segerea, zote hizi ni seniro seminaries. Mapadri ni wajanja: wanaposema hawaruhusu kuoa hawamaanishi HUWEZI kuoa. La sivyo impotents wote wangekuwa ni Maaskofu. Kaoa?

Ghafula bin vuu kaibukia UDSM kufanya BBA part-time. Why part-time? Lakini hata angetaka full-time, haiwezekani: lazima uwe na "A"-level with passes in accountancy or economics. Wanaruhusu Form 4 kama tu unaingia ile MATURE AGE ENTRY, uwe mzee na uwe na uzoefu wa miaka si chini ya 10. Hatuambiwi ana uzoefu gani wa taaluma au kazi yoyote, kwa hiyo hata kujiunga kama NGUMBARU wasingekubali. Hapo kaminya ukweli. Maoni yangu ni kwamba anaposema alipofika mwaka wa tatu akaamua ghafula "aache" nadhani actually walimgundua wakamfukuza, wakamdisco.

Hapo napo ukweli kauminya. Can you trust someone who lies his way out of all quagmires? Awe rais wako? What of the future? Katiba ya Warioba inasema Rais lazima awe na PhD au walau graduate. Mnyika out?
Bill Marconi
 
Lazima utoke kapa...

Unasoma ukiwa umevaa miwani ya kijani...
 
Nimebahatika kuona matokeo yako, umeniboa sana hvi mnyika unapoteza muda kumjibu Ridhiwani kiwete, mgerezeaj maharufu chuokikuuu yule,na nape mzee wa full D NA FFFFFFFiesta! form four,,please unavitu vya kuandika hacha kutupotezea muda kutuandikia vitu km hivi mnyika, hawa hachan nao ni mavuvuzela, ridhiwani aseme kwao nani aliwai kupata one?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…