Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma


Japo sina shaka na uwezo wake wa kitaaluma kuna kitu huwa anakificha mnyika na hii sio sawa ukweli ni kwamba kidato cha Sita alipata C ya Divinity ambayo ndio imemvuta mpaka kwenye Divisio 2 ya point 12 yaani two ya mwisho lkn kwenye masomo yake ya msingi ambayo alitakiwa kuwa na principle pass ili awe na sifa ya kusoma chuo kikuu kwa kipindi kile cha 2002/03 hakufanya Vizuri yaani Kwenye EGM yake alipata DES...sasa kwa ufaulu huo hakuwa hata na vigezo vya kupewa form ya angalau kuomba kusoma UD katika programs za kawaida.. anaposema ameamua tu kusoma Jioni ni unafiki mkubwa... hakuwa na vigezo!...aache bla blaa umri unamruhusu aende shule sasa
 
Jamani mwenye kujua Wakili Riziwan alisimamia kesi gani? Matokeo yalikuaje ya hiyo kesi?
 
Wakuu baada ya Mark Mwandosya kujisafisha kwa kuepuka kupachikwa nembo ya ukilaza, nimeona trending news nyingine ikitamba kwenye mitandao ya twitter na facebook. Mara nyingi Nape aliwakemea sana wapinzania kama akina Mnyika kwa kuwaita Mavuvuzela pindi walipotoa hoja bungeni. Kwa taarifa zinazosambaa, hata kama matokeo ya mtihani inaweza isiwe kipimo sahihi sana cha uwezo wa mtu lakini yanatoa picha fulani.

Nape amelelewa na kukulia familia bora na ya kisomi, kwa maana hiyo ningetegemea kuwa katika mitihani yake angekuwa amefanya vizuri zaidi kulinganisha na wengine kama Mnyika, ingawa miaka ya kutahiniwa kwao yaweza kuwa tofauti.

Je, ni kweli Mnyika alipata Div 1 - 7 F IV na Nape ana kitu kama cha Jesca au zaidi ya hicho?

Hebu wataalamu leteni kwanza taarifa za uhakika, halafu niendelee na uchambuzi wangu.

Pia kuna ile link yenye majina ya wasomi, wakiwemo wa PhD wenye vyeti feki, tusisahau kumpa Rais atumbue.
 
Huwezi mfananisha nepi na mnyika ni briliant. Nepi kanunua vyeti vya MBA mzumbe kwa kutumia ccm
 
UNAPASWA KUYAKUMBUKA MANENO YA WALIOSEMA LOWASA ATAKUFA, LEO HII WAKO WAPI. KWA KUWA KAZI YAKO NI YA UONGO BASI NIMATUMAINI YANGU NADHIRI HII YA KUJA KUSOMA CCM IKIONDOKA MADARAKANI UTAIVUNJA TU. NAKUTAKIA UTEKELEZAJI MWEMA
 
safi sana JOJO kwa kutueleza ukweli walaah. Mimi nilidhani kuwa wewe ni BASHITE wa Education kumbe uko so mwaaa kichwani
 
Hivi nape yeye alishawahi leta mtiririko wake wa elimu baaada ya majibu haya?
 
Hii itamsaidia kisiasa, professionally na personally, kama bado hajapata degree.


Kama ameshapata degree then ushauri huu hauko valid.




NB: Ushauri huu ni mzuri na wa unyenyekevu, na una lengo la kumtakia mema ndugu Mnyika, pamoja na chama chake.
 
Mnyika Mmoja ni Sawa Sawa na SSM yote kuanzia Mwenyekiti Mpaka Balozi wa Nyumba Kumi Kumi
 
Kuambiwa msiguswe hasa mkiwa mmetupia green inawafanya mjimwambaishe hadi JF?

Shule ya Mnyika inakuhusu nini?
 
Shangazi zako wamesoma degree walipopata muda wa ziada baada ya kumaliza kazi za upishi jioni? Mijitu mingine mmetanguliza masikio wakati wa kuzaliwa pambaffffff
 
Ushauri huu ungewapa kwanza wale wabunge std seven wa ccm!! Japo wapate hata astashahada kwanza, ungekuwa bora sana kwani darasa zima wanatosha wanafunzi 45
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…