Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

Umefanya vema, but Form Six haiko clear hapa ulipataje Mh. Mbunge,, primary na o- level iko Very clear
 
Kama kiongozi makini unahitaji kwanza uwe na uwezo wa kutafakari jambo, mbunge huyu uwa hatafakari bali anafuata kila anachoambiwa

1. hoja ya maji dar arijaribu kukopi na kupaste ya wizara ili ajiafutie umaarufu hii alifanya kwa kufuata mawazo baadhi ya wabunge cdm anaodhani kuwa wana uwezo zaidi yake
2. kauli anazotoa bungeni na nje ya bunge haziendani na mtu makini mwenye nia nzuri na watanzania kwa mambo hayo machate tu mbunge huyu upeo wake wa kufikiri bado mdogo sana
 
Haya sasa Myika kaeleza elimu yake..zamu ya Rizione na Nape
 
Ongera Myika kwa kuweka wazi, wananchi tumekuchagua sio kwa shahada bali uwezo ulionao. Kwa jinsi unavyochangia bungeni na unavyoendesha siasa unajitofautisha na wasomi vyeti. Siku moja tulimuuliza Mtikila pale SUA kuhusu elimu na majibu yake alisema yeye ahamini katika vikaratasi bali utendaji wa mtu. Chadema songa mbele ,tumeingia sebureni kwao wamelimbilia chumbani -tunawafata hukohuko
 
Umeeleweka mkuu.Chapa kazi,uwezo na uwajibikaji wako unathibitika wenyewe kwa vitendo,wananchi tunakiri.
 
Mpuuuzi wewe, hakuna mbunge hata mmoja wa magamba anayeweza kumfikia Mnyima! Elimu siyo vyeti!
 
Habari zilizoenea mitaani ni kuwa Nape alipata Division 0 mtihani wa Kidato cha 6, mwenye uhakika au yeye mwenyewe atuhakikishie. Na aeleze aliwezaje kwenda Chuo Kikuu baada ya kupata Division 0 mithani wa kidato cha 6.


 
Kwa hili Bandiko tu John Mnyika amezidi kupata umaarufu.Nina hakika 2015 utazoa kura zaidi ya 90%
 
Last edited by a moderator:
magoli aliowapiga nape na mtoto wa jk hayaelezeki haya magoli gang chomba anaweza kutuambia huwa yanafungwa san siro tu na sasa jj mnyika. Mnyika anajua civics,biology,maths,english,chemistry,physics,geography bado lipi wajameni?
 
haya sasa, ni zamu ya nape na rizone kuweka cv yao hapa. asante sana mkuu. mia

Acha maneno mengi.

TEngeneza CV KM HII

Education
Include dates, majors, and details of degrees, training and certification
High School
University
Graduate School
Post-Doctoral Training

Professional Qualifications
Certifications and Accreditations
Computer Skills
Awards
Publications
Books
Professional Memberships
Interests
 

kwa uandishi huu ni vema ukae kimya.!
 
Mbunge gani wa ccm mwenye upeo mkubwa?. Ccm ndo waliomfanya mnyika ahairishe masomo udsm. Ccm ni janga!
 
Acha bla bla jibu hoja kwa format hii;

Education
Include dates, majors, and details of degrees, training and certification
High School
University
Graduate School
Post-Doctoral Training

Professional Qualifications
Certifications and Accreditations
Computer Skills
Awards
Publications
Books
Professional Memberships
Interests
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…