Majibu kwa wale wasiopenda wageni...

Majibu kwa wale wasiopenda wageni...

Mczigga

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
722
Reaction score
1,272
Wale wadau wa kuishi geto pale ambapo unapigiwa simu na mdau au ndugu anasema anakuja kwako. Naomba ujibu kama mtu ambaye hutaki wageni kabisa.

Mimi najibu "Nina mishe nyingi ndugu nitakuja tu kwako usijali"
 
Wale wadau wa kuishi geto pale ambapo unapigiwa simu na mdau au ndugu anasema anakuja kwaka. Naomba ujibu kama mtu ambaye hutaki wageni kabisa.

Mimi najibu "Nina mishe nyingi ndugu nitakuja tu kwako usijali"
Mimi nitamwambia kuwa mda mwingi nashinda kazini,pia mwenye nyumba hataki Mimi nilete wageni.
 
karibu sana ndugu yangu

ila mwenye nyumba kafungia vitu vyangu;ananidai kodi ya miezi6 kama unayo nirushie; nitakulipa mwisho wa mwezi
😅😅😄 Apo lazm mtu atoke 🏃🏃🏃 hawez sogea
 
Back
Top Bottom