miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
hivi viumbe tuishi navyo kwa akili(ukiona hii ujua mtu ashaumia huko)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi Haijawahi Kumuacha Mtu Salama!Nilisoma kichwa cha uzi tu nikaachana nao nilijua tu ningesoma ndani ningekutana na utopolo tu.
Bangi Haijawahi Kumuacha Mtu Salama!
Usipokua Na Pesa, Hata Umbwa Wako Atakubwekea Ukichelewa Kurudi Nyumban! (ukisoma Kauri Hii Kwenye Comment, Tambua Kuna Mtu Kadhalilishwa Kwa Kukosa Pesa).Endelea kuangalia tamthiliya hapo sebuleni kwa shemeji yako.
ChaguaWe Ni me au ke
We ni me au kesamahani sister naomba uniruhusu niangalie Avatar yako
Wewe tusamahani sister naomba uniruhusu niangalie Avatar yako
Mbn Kama inaenda kuleeChagua
Kule wapiMbn Kama inaenda kulee
Kule kwa Trump EtyKule wapi
Weka picha ya hayo majibuHii ni kwa uzoefu nilionao na JF
• Tuwekee na kapicha kidogo!
• Siti ya Mbele kabisa
• Lumumba buku saba
• PoliCCM
• Chadema ni mpango wa Mungu!
• Wasiojulikana
•
Unaweza ongezea!