PostGE2025 Majibu mazito ya CHADEMA kwa Msajili, yagomea tishio la kufutwa au kutozwa faini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Chadema wapo wazi
Sana. Wako transparent. Hata wanaoikandamiza CHADEMA wanajua wanachokifanya ni mbinu tu za kishamba. Sijui kama wanajua kama CHADEMA level za kujipambania. CHADEMA imejikita mioyoni mwa watu. Hivyo chochote dhidi ya CHADEMA ni kuchezea amani.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, @hechejohn , ameikosoa vikali kauli ya Mwenyekiti wa UWT Taifa, @marypiuschatanda , akidai kuwa viongozi wa CCM wameanza kutoa kauli za vitisho dhidi ya wapinzani kutokana na hofu ya mikutano ya kisiasa inayoendelea nchin

Heche amesema kauli ya Chatanda iliyodokeza kuwa angepewa mamlaka asingewaacha wapinzani “wawepo”, ni ishara ya siasa za hofu na ukandamizaji badala ya kujibu hoja za kisiasa kwa njia ya kidemokrasia.

“Huu ni mkutano wa tatu tu tayari wamepanick vibaya. Chama hakiwezi kujibu hoja kinataka wapinzani wake wauwawe, watekwe au wapotezwe,” amesema Heche.

Pia amerejea matukio ya vurugu na watu waliopotea baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akiwataja baadhi ya watu waliowahi kuripotiwa kutoweka huku akihoji hatma yao.

Kauli hiyo imeendelea kuchochea mjadala mkubwa mitandaoni kuhusu uhuru wa kisiasa, haki za binadamu na matumizi ya lugha kali kwenye siasa za Tanzania.
1779292032209.jpg
 
Sisti lazima atoke mita akiisoma barua hii.
Cdm tafadhali, tulikubaliana kuwa hakuna kupiga mateke kichwani katika mchezo huu kwani utamsababishia kamisaa aliyejigeuza mchezaji madhara ya kichwa.
Haya Sisti, majibu tafadhali na ujibu bila kuwa biased!
 
In other words, "legality" is the key.

An election, can be "legitimate", yet miss the elements of being "legal'; and anyone has a right to raise issues on that election within confines of the law; including denial of recognition of the declared election winners.
Hakika, kama ulivyo sema mkuu, anyone has a right to raise issues within the confines of the law.

Katiba na hata ile penal code , tulichokiona kwenye majibu ya CHADEMA vinampa raia au taasisi haki ya kuonyesha makosa ya serikali.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha majibu rasmi na mazito kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, kikikataa tuhuma zote za ukiukwaji wa sheria zilizoelekezwa dhidi yake katika barua ya Msajili yenye Kumb. Na. HA.322/362/16A/22 ya tarehe 07 Mei 2026. CHADEMA kimesema kuwa tuhuma hizo hazina misingi ya kisheria wala ya kikatiba, bali ni muendelezo wa mkakati wa kisiasa unaolenga kukidhoofisha na kukikandamiza chama hicho kikuu cha upinzani nchini ili kulinda maslahi ya chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika nyaraka hizo zilizowasilishwa leo, Mei 20, 2026, CHADEMA kimebainisha kuwa haki ya kukosoa serikali, kueleza misimamo ya chama juu ya masuala ya kitaifa, na kuhamasisha wananchi kudai haki ni mambo yanayolindwa na Ibara za 18, 20, na 21 za Katiba ya nchi. Chama hicho kimesisitiza kuwa kifungu cha 19(2)(f) cha Sheria ya Vyama vya Siasa kinachokataza lugha kali au "uchochezi" jukwaani, kimeingizwa kimakosa na kinakiuka mipaka iliyowekwa na Katiba ya nchi. CHADEMA kimeongeza kuwa Ofisi ya Msajili inajivika kimakosa mamlaka ya kimahakama, kwani makosa ya jinai kama uchochezi au matusi yanapaswa kuamuliwa na Mahakama pekee na sio taasisi ya kiutawala.

Kuhusu tuhuma dhidi ya viongozi na wanachama wake, chama hicho kimeitetea vikali kauli ya Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, kuhusu kuitisha maandamano ya nchi nzima kushinikiza kuachiwa kwa Tundu Lissu, kikieleza kuwa kuandamana kwa amani ni haki ya kikatiba na haijawahi kuwa kosa. Vilevile, kimeitetea taarifa ya Kamati Kuu yake ya tarehe 05 Mei 2026 iliyoupinga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kikirejea maamuzi ya Mahakama ya Rufaa ya mwaka 1996 yanayofafanua kuwa uchaguzi wowote usio huru na wa haki hauwezi kuitwa uchaguzi kisheria. CHADEMA kimehoji ni kwa nini Msajili anafungia macho kauli za vitisho na mauaji zinazotolewa na viongozi wa vijana wa CCM (UVCCM) na badala yake anaiandama miundo ya CHADEMA inayotetea haki ya kuishi ya raia kufuatia matukio ya utekaji na mauaji nchini.

CHADEMA kimeenda mbali zaidi na kukumbusha kuwa ripoti za taasisi kubwa za kikanda na kimataifa, zikiwemo Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Ulaya (EU), na Umoja wa Mataifa (UN), zote kwa pamoja zilitangaza wazi kuwa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025 haukukidhi viwango vya kidemokrasia kwa sababu ya vitisho, dosari za kuhesabu kura (ballot stuffing), na uzimwaji wa mitandao ya mawasiliano. Hivyo, msimamo wa chama hicho kuhoji uhalali wa viongozi walioingia madarakani kupitia mfumo huo unalindwa na kifungu cha 63B cha Sheria ya Kanuni za Adhabu (Penal Code), kinachomruhusu raia au taasisi kuonyesha makosa na kasoro za serikali au katiba ili zirekebishwe.

Mwishoni mwa majibu hayo, CHADEMA kimetupilia mbali tishio la kusimamishwa usajili wake au kutozwa faini kikieleza kuwa hakijatenda kosa lolote linalostahili adhabu na kiko tayari kutumia njia zote za kisheria na kikatiba kujilinda. Chama hicho kimehitimisha kwa kutoa wito kwa Ofisi ya Msajili kuacha kugeuka kuwa mchezaji wa kisiasa na badala yake kufuata misingi ya haki ya asili (natural justice) na mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu ili kuruhusu mfumo wa vyama vingi ustawi kwa usawa nchini Tanzania bila ubaguzi au upendeleo.

Soma pia
Wanaomshauri Rais wa Malawi wanataka mwenzao akafie Mahakama ya ICC na kwenda jela..
 
Mtungi aliona hilo fupa akaingia mtini akamsukumizia Nyahoza .... Mzee wa NDIYO. Hana title yeyote kwenye Sheria zaidi ya cheti chake.
 
Sista Kaoza na mzee wa Gambe Mitungi sijui hizo sheria walisomea wapi ,yaani vifungu walivyonukuu vya kutaka kuisimamisha au kuilipisha faini chadema yaani vinatumika kwa chama chenye usajili wa muda.

Kweli hamza kanuni.
 
Mwishoni hawajaweka NB: ya Sugu? au imekatiwa ithibati mpaka wailipie kwanza maana hiyo ilifaa sana kuwa kama hitimisho
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha majibu rasmi na mazito kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, kikikataa tuhuma zote za ukiukwaji wa sheria zilizoelekezwa dhidi yake katika barua ya Msajili yenye Kumb. Na. HA.322/362/16A/22 ya tarehe 07 Mei 2026. CHADEMA kimesema kuwa tuhuma hizo hazina misingi ya kisheria wala ya kikatiba, bali ni muendelezo wa mkakati wa kisiasa unaolenga kukidhoofisha na kukikandamiza chama hicho kikuu cha upinzani nchini ili kulinda maslahi ya chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika nyaraka hizo zilizowasilishwa leo, Mei 20, 2026, CHADEMA kimebainisha kuwa haki ya kukosoa serikali, kueleza misimamo ya chama juu ya masuala ya kitaifa, na kuhamasisha wananchi kudai haki ni mambo yanayolindwa na Ibara za 18, 20, na 21 za Katiba ya nchi. Chama hicho kimesisitiza kuwa kifungu cha 19(2)(f) cha Sheria ya Vyama vya Siasa kinachokataza lugha kali au "uchochezi" jukwaani, kimeingizwa kimakosa na kinakiuka mipaka iliyowekwa na Katiba ya nchi. CHADEMA kimeongeza kuwa Ofisi ya Msajili inajivika kimakosa mamlaka ya kimahakama, kwani makosa ya jinai kama uchochezi au matusi yanapaswa kuamuliwa na Mahakama pekee na sio taasisi ya kiutawala.

Kuhusu tuhuma dhidi ya viongozi na wanachama wake, chama hicho kimeitetea vikali kauli ya Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, kuhusu kuitisha maandamano ya nchi nzima kushinikiza kuachiwa kwa Tundu Lissu, kikieleza kuwa kuandamana kwa amani ni haki ya kikatiba na haijawahi kuwa kosa. Vilevile, kimeitetea taarifa ya Kamati Kuu yake ya tarehe 05 Mei 2026 iliyoupinga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kikirejea maamuzi ya Mahakama ya Rufaa ya mwaka 1996 yanayofafanua kuwa uchaguzi wowote usio huru na wa haki hauwezi kuitwa uchaguzi kisheria. CHADEMA kimehoji ni kwa nini Msajili anafungia macho kauli za vitisho na mauaji zinazotolewa na viongozi wa vijana wa CCM (UVCCM) na badala yake anaiandama miundo ya CHADEMA inayotetea haki ya kuishi ya raia kufuatia matukio ya utekaji na mauaji nchini.

CHADEMA kimeenda mbali zaidi na kukumbusha kuwa ripoti za taasisi kubwa za kikanda na kimataifa, zikiwemo Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Ulaya (EU), na Umoja wa Mataifa (UN), zote kwa pamoja zilitangaza wazi kuwa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025 haukukidhi viwango vya kidemokrasia kwa sababu ya vitisho, dosari za kuhesabu kura (ballot stuffing), na uzimwaji wa mitandao ya mawasiliano. Hivyo, msimamo wa chama hicho kuhoji uhalali wa viongozi walioingia madarakani kupitia mfumo huo unalindwa na kifungu cha 63B cha Sheria ya Kanuni za Adhabu (Penal Code), kinachomruhusu raia au taasisi kuonyesha makosa na kasoro za serikali au katiba ili zirekebishwe.

Mwishoni mwa majibu hayo, CHADEMA kimetupilia mbali tishio la kusimamishwa usajili wake au kutozwa faini kikieleza kuwa hakijatenda kosa lolote linalostahili adhabu na kiko tayari kutumia njia zote za kisheria na kikatiba kujilinda. Chama hicho kimehitimisha kwa kutoa wito kwa Ofisi ya Msajili kuacha kugeuka kuwa mchezaji wa kisiasa na badala yake kufuata misingi ya haki ya asili (natural justice) na mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu ili kuruhusu mfumo wa vyama vingi ustawi kwa usawa nchini Tanzania bila ubaguzi au upendeleo.

Soma pia
Huyu msajili wa CCM ni zaidi ya mbwa anayelamba vidonda vya Samuya vyenye usaha vilovyotokana na risasi zilizowspiga raia wasiokuwa na hatia.
 
Ukiwa muoga kwa kinacho endeleaa kwenye sakata la sakata za siasa siasani..

Kama kile kipindi watu walikua wanaogopa kuvaa sare za CCM..

Ukiwa CHADEMA unaonekana muhaini na mtu unae takiwa kutoweshwa na serikali nazidi kujifunza mengii🤔
 
Chadema mnaponiachaga hui ni hapa,unasema kifungu kinachokataxa Lugha ya uchochexi kimeingizwa kimakosa yet kipo kisheria Sasa hapo si mnafanya siasa badala ya sheria ambapo haiwezi kuwasidia?
 
"Sheria imeingizwa kimakosa" Chadema ni sikio la kufa

Kwahiyo nyinyi By laws kwenu ni haramu?

Kweli ujinga mzigo, mkikaangwa mtaanza kuhaha?
 
Heche apewe break akiwa katoro alisema chama hakitamjibu msajili Imekuaje
 
Back
Top Bottom