6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea!
Leo 4th May 2024 saa moja usiku, kwa saa za africa mashariki
Majibu ya walioomba Diversity Visa Lottery yatatangazwa kupitia official website :
Maombi haya hufanyika kila mwezi wa tisa / September
Na Majibu ya mamobi ni the next year on May.
Je wewe uliappy Green card??